Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkutano wa 18 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa CITES (CITES COP 18) umeanza tarehe 17 Agosti 2019, Geneva, nchini Uswisi. Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaongozwa na Mhe. Dkt. Hamisi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Flashback...1977 Mwaka 1977 iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ilivunjika na mali zilizokuwa za Jumuiya hiyo pamoja na stahiki za nchi zote tatu (Tanzania, Kenya na Uganda)...
15 Reactions
27 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa na kundi la Vijana nchini ambao ni Wadau katika Sekta ya Kilimo kwa Uthubutu wake wa kufanikisha kufanyika kwa mkutano...
1 Reactions
1 Replies
384 Views
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa! Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi. Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna...
21 Reactions
90 Replies
6K Views
Ni ukweli mchungu lakini Ndivyo walivyokuwa wapigania Uhuru wa Afrika kusini ya Sahara Ukimsikiliza Mdude anavyoongea utagundua ana kitu ambacho 99.9% ya Vijana wa leo wa Tanzania hawana Labda...
22 Reactions
41 Replies
2K Views
Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano. Asitelekezwe. CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake. Kuwa na mfuko kwa ajili ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee...
38 Reactions
348 Replies
27K Views
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari. Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa. Kwa...
34 Reactions
84 Replies
7K Views
Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu. Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura...
94 Reactions
240 Replies
12K Views
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression. Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa...
43 Reactions
262 Replies
21K Views
UVUVI ni shughuli kubwa ya Uchumi kwa jamii za watu wanaoishi kando ya bahari, mito na Maziwa. Mpaka sasa watu wanaojishughulisha na mnyororo wa thamani wa Uvuvi ni Takribani watu Milioni 4.5...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
Mhesh Rais Samia ni wakati wa kuingilia suala la malipo ya fidia kwa wananchi wanaohamishwa eneo la Kipunguni na Kigilagila ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JNIA. Ni miaka zaidi ya 15...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja. Mimi nimebehetika kukaa katika biashara...
1 Reactions
1 Replies
482 Views
"Picha na Video ziko chini ya Bandiko." Kitendo cha Spika Tulia Akson kumkalisha Chini na kuukataa mchango wa Mbunge wa Sengerema CCM Mheshimiwa Tabasamu wakati akitoa hoja yake kuhusu hujuma ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 9, leo Septemba 8, 2023. https://www.youtube.com/live/LESXSKjjWGg?si=4iBgpLPzLXEouZLk https://www.youtube.com/watch?v=-LGuLfNhFWE...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…