assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression.
Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa.
Kujenga flyover ndani ya Daresalaam Na kutumia bilions sio kipaumbele chetu. kwanini masoko Na ofisi kuu zisihamishwe katika ya jiji Na kuwekwa pembezoni.
kujenga reli ya umeme Tanzania ni kutojua vipaumbele vya watanzania. si kwamba haifai Bali time yetu bado.
Vipaumbele vya watanzania;
1. KILIMO
Fedha zote zilizo nunulia ndege zingewekezwa kwenye kilimo kwa kuwekeza kwenye benki za wakulima, kuwekeza kilimo cha umwagiliaji, serikali kutumia taasisi kama jeshi, vyuo vya kilimo kufanya tafiti za udongo na mbegu, wadudu. pia kuwekeza kwenye pembejeo za kilimo kama matrekta ya kulimia, kuvuna nk.
Kilimo kimedharauliwa sana.
2. ELIMU
Serikali ilitakiwa iboreshe elimu hasa VETA, ijenge vyuo kila wilaya tupate wataalamu wa kati na kati kwa ajili ya viwanda vidogo. Pia iwekeze kwa vyuo vya kilimo tupate maafisa ugani wa kutosha.
Pia elimu kwa vitendo kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu iboreshwe. Nimesoma science udsm kwa kweli lab ya chuo kikuu ni aibu, watu wanadesa tu. Km taifa litadharau quality ya elimu tutazani tunawasomi lakini incompetent.
3. AFYA
Serikali ilipaswa iwekeze kwenye afya. fikiria hata wewe, wazazi wanalala chini, dawa hakuna, vifaa tiba vichache, gharama kubwa kwa magonjwa serious, kweli tujenge reli ya umeme?
4. TUWEKEZE KWENYE MADINI NA GESI ASILIA
Uchumi wetu unakuwa boosted na madini. Je, kama kule Mererani kungejengwa viwanda vya Vito Na madini yale kuongezewa thamani.
Pili kuwekeza ni pamoja na kureview mikataba kwa kuiweka wazi hasa bungeni ikapitiwa upya.
Tatu ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kupitia gesi asilia. umeme ndio determinant WA kila kitu Na ndio engine ya uchumi wowote. sasa unanunua sh500 unauza 200,halafu unahubiri Tanzania ya viwanda, are we serious.
Nimetaja vipaumbele vichache kati vingi ambavyo serikali ilipaswa ianze navyo kuinua mateso na umaskini wa watu wetu.
Assadsyria3