voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
"Picha na Video ziko chini ya Bandiko."
Kitendo cha Spika Tulia Akson kumkalisha Chini na kuukataa mchango wa Mbunge wa Sengerema CCM Mheshimiwa Tabasamu wakati akitoa hoja yake kuhusu hujuma ya uadimikaji wa Mafuta nchini.
Ni ushahidi tosha kwamba kuna mgongano mkubwa wa Maslahi baina ya wasimamizi au viongozi hao wawili.
Mkurugenzi wa EWURA nchini ambae pia ni Mume wa Spika wa Bunge la JMT.
Je, kwa mtindo huu kama ukiachwa na kuendelea kukomaa.Bila kukemewa na au kuchukuliwa hatua stahiki na mamlaka husika. Tutaweza kusonga mbele kama taifa,endapo mambo yanaanza kuwa yanapelekwa kifamilia namna hii.
Nadhani kuna mmoja anapaswa kuachia ngazi kwa maslahi mapana ya ustahimilivu wa kisiasa na kijamii nchini mwetu. Imetosha sasa.
Huku ni kuwachomekea watanzania vidole kwenye macho.
Hizi taasisi "Bunge" na "EWURA" ni nyeti sana kwa taifa hili na hazipaswi kamwe kuchezewa kwa maslahi binafsi ya familia au kundi fulani la watu nchini.