Wapigania Uhuru akina Nyerere, Samora, Mugabe, Mandela, Kaunda nk walikuwaga Wakali kama Huyu Mdude wa Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Ni ukweli mchungu lakini Ndivyo walivyokuwa wapigania Uhuru wa Afrika kusini ya Sahara

Ukimsikiliza Mdude anavyoongea utagundua ana kitu ambacho 99.9% ya Vijana wa leo wa Tanzania hawana Labda kwa sababu tuko Huru

Fuatilia historia ya Hiyo miamba niliyoitaja Hapo juu

Ogopa sana mtu aliye tayari kuutoa Uhai wake kwa ajili ya Wengine, Huyo ni Mtu na Nusu

Mlale Unono 😀😀
 
Wee msifie Mdude tu Lucas mwashamba aje akusikie 🤣🤣🤣
 
Mdude mbona binti tu huyu. Yeye apige kelelelelele ila 2025 kura kwa Dkt Samia
 
Wee msifie Mdude tu Lucas mwashamba aje akusikie 🤣🤣🤣
Kumfananisha Mdude na wazee wetu waliopigania uhuru ni matusi na udhalilishaji kwa wazee wetu waliotangulia mbele za haki. Wazee wetu walikuwa wakizungumza kwa hoja na mantiki. Walikuwa na akili na maono makubwa sana.

Hawakuwa wakiropoka kama Mdude na mibangi yake kichwani.hawakuwa na mihemuko pasipo hoja. Walishinda kwa kuwa hoja zao zilikuwa na nguvu na siyo mimatusi ya Mdude anayekuwa kama kaopoolewa kwenye pipa la gongo.
 
Ni ukweli mchungu lakini Ndivyo walivyokuwa wapigania Uhuru wa Afrika kusini ya Sahara

Ukimsikiliza Mdude anavyoongea utagundua ana kitu ambacho 99.9% ya Vijana wa leo wa Tanzania hawana Labda kwa sababu tuko Huru

Fuatilia historia ya Hiyo miamba niliyoitaja Hapo juu

Ogopa sana mtu aliye tayari kuutoa Uhai wake kwa ajili ya Wengine, Huyo ni Mtu na Nusu

Mlale Unono 😀😀
Ninkweli wajinga na waoga waliwaona kama wamechanganyikiwa lakini at the end walichangia mabadiliko makubwa sana kwenye Uso wa Dunia na heshima zao zitadumu milele.
 
Kumfananisha Mdude na wazee wetu waliopigania uhuru ni matusi na udhalilishaji kwa wazee wetu waliotangulia mbele za haki. Wazee wetu walikuwa wakizungumza kwa hoja na mantiki. Walikuwa na akili na maono makubwa sana.

Hawakuwa wakiropoka kama Mdude na mibangi yake kichwani.hawakuwa na mihemuko pasipo hoja. Walishinda kwa kuwa hoja zao zilikuwa na nguvu na siyo mimatusi ya Mdude anayekuwa kama kaopoolewa kwenye pipa la gongo.
Wewe kajifananishe na wenzako akina Lusinde.

Huna hadhi ya kujadili Mdude ni level nyingine.

Anaishi kwa kujitegemea na kujisimamia.

Kwako wewe bila kutegemea dhulma za ccm hata miezi sita huwezi kusurvive
 
Back
Top Bottom