Rais Samia apongezwa kufanikisha jukwaa la mfumo wa chakula AFRIKA -AGRF

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
922
1,093
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa na kundi la Vijana nchini ambao ni Wadau katika Sekta ya Kilimo kwa Uthubutu wake wa kufanikisha kufanyika kwa mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula (AGRF).

Akizungumza kando ya mkutano huo mmoja wa Vijana hao ambae pia ni Mdau wa kahawa Mkoani Kagera, Ndugu Leonard Kachebonaho amesema kufanyika kwa Jukwaa hilo hapa nchini itakuwa ni kichocheo katika kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo itatoa fursa kwa kundi la vijana kuweza kujiimarisha kiuchumi sambamba na kuongeza mapato kwa Serikali.

20230907_193400.jpg
 
Back
Top Bottom