Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo anatakiwa kuhudumu Vipindi vingapi Kikatiba? Naona tunadanganywa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Mbowe kwa Katiba ya CHADEMA haimzuii kugombea tena Uenyekiti kama atapenda na asipogombea ndio tutasema "anang'atuka"

Sasa Zitto Kabwe anang'atukaje?

Tupeni Ufafanuzi kikatiba tuachane na Siasa za Ulevini. 🐼
 
Siasa za Ulevini kama za shetani Jiwe
 
Back
Top Bottom