Rais Samia: Tusimbeze Prof Janabi kuhusu Afya

Rais Samia: Tusimbeze Prof Janabi kuhusu Afya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,623
Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi.


​
 
Mama asione hii, kwamba chanjo ya corona imefanyaje vile 😂😂
20240304_003630.jpg
 
Janabi hawezi kuwa mwanasiasa, nitamshangaa, anatakiwa atulie hapohapo aendelee kutoa masomo yake kwenye jamii ya wajinga wenye fani tofauti wanaobishana na wajuvi wa fani wasizozijua.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom