Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko .
Wanaccm wote wa Tanganyika na Zanzibar mara zote wamejiapiza kuhakikisha Maalim Seif Sharrif Hamad hapati uongozi wa Juu wa Zanzibar , iwe kwa halali...
Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena
Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi...
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio...
Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?
Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa...
Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga...
Wasaalam, jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji...
Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa.
Juzi...
Joseph Mungai
Chini ya uongozi wake huyu masomo ya biashara na kilimo yalifutwa kwa baadhi ya shule za sekondari, Physics na Chemistry ikafanywa kuwa kipindi kimoja halafu wizi au uvujishaji wa...
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.
Ni lile aliloagiza Rais Magufuli...
Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi...
Moja ya mambo yanaoangamiza mataifa mengi ni ukosefu wa viongozi thabiti kwani viongozi wengi hasa wa Bara la Afrika hupatikana kwa njia ya udanganyifu kama wizi wa kura, kunadi sera za uongo...
Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt...
BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO
Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa...
PROPAGANDA
Katika ulimwengu wa leo uliojaa habari na teknolojia, propaganda imekuwa moja ya zana muhimu zaidi za kuathiri mtazamo wa umma na maamuzi ya kijamii.
Propaganda, kwa njia zake...
Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura.
Hivi vyama vya namna hii vina mtindo...
Ndugu zangu watanzania,
Siku zote naawaambieni watanzania wenzangu ya kuwa Mwenyezi MUNGU ndiye aliyempatia Rais Samia Urais ,ndiye aliyemuinua na kumfikisha hapo Alipo,Ndiye aliyempatia kibali...
Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga...
Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na...
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...