ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,125
- 49,846
Dunia Kwa sasa inaeleza Nguvu kwenye Nishati jadidifu yaani umeme usiotoa gas za kuchafua Hali ya hewa na kuleta majanga Duniani.
Hapo Sasa Ile dhana ya Baba yenu wa Taifa Kambarage Kuacha kutumia Madini Kwa kualika Wawekezaji wachimbe Kwa faida ya pande zote mbili inaenda kutokea puani kwenye Madini ya Makaa ya Mawe.
Ukweli ni kwamba mda Unayoyoma kabla ya tarehe ya mwisho ya marufuku ya matumizi ya Makaa ya mawe kuwadia mnamo mwaka 2030.
Huku mda ukizidi kukimbia Tanzania Bado Ina Mamilioni ya Tani za Makaa ya mawe yamelala ardhini bila kuchimbwa Kwa kuwa tulikosea hesabu hapo Mwanzo huku demand yake ya Sasa ikiwa ndogo hata kama tukisema watu wachimbe Bure.
Ndio kusema kilichoitwa Mali kinaenda Kugeuka hasara kubwa na kuua matarajio ya uchumi wa Mikoa ya Mbeya,Songwe,Rukwa,Njombe na Ruvuma kupata Kwa kutegemea Makaa ya mawe.
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1704803169702760485?t=piRlts23sk1g4S1xcY5bUQ&s=19
My Take
Tusipokuwa makini na kuendelea kujivuta vita kutaka faida ya 50/50 hata gas inaenda kutufia hivyo kupata hasara mara 2.
Nilimsikia Rais akiwa Mtwara anasema tuombe mazungimzo na wawekezaji yafanikiwe haraka Ili usindikaji wa LNG uanze mara Moja.
Aisha Serikali iharakishe mazungimzo na Kenya,Uganda na Zambia Ili tujenge Mabomba na kuanza kuwausia hiyo gas kabla ya kutudodea kama makaa ya mawe.

Rais Samia Tafuta wawekezaji haraka wa makaa ya mawe, chuma na madini ya coltan vita ya ukraine imepandisha soko Ulaya kabla hayajatudodea
Sasa hivi kuna uhitaji mkubwa mno wa makaa ya mawe na chuma na Madini ya Nickel yaliyoko kabanga ngara yanahitajika sana Ulaya Tani moja ya Nickel ilikuwa dola elfu 35 sasa hivi ni dola laki moja kwa tani Tuchangamkie fursa Tafuta wawekezaji wa nje chapchap wenye mitaji na teknolojia waje...
www.jamiiforums.com