Milioni 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja la Kiseru - Kiteto

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MILIONI 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO-MBUNGE OLE LEKAITA

Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika.

Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na Kata ya Sunya Wilayani Kiteto limekamilika baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi.

Akizungumza leo tarehe 21 Septemba 2023 kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika katika kijiji cha Chang'ombe, Olgira, na Mbikasi akiwa katika ziara ya Jimbo ya siku tatu kuanzia tarehe 21/23 Septemba 2023 Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia kwa uthubutu wake wa kujenga daraja hilo lililokuwa kikwazo kwa wananchi huku likikusudiwa zaidi kurahisisha usafirishaji wa mazao ya chakula na biashara.

Amesema kuwa maendeleo yanayofanywa na Rais Samia yanaacha alama kubwa na tunu katika wilaya ya Kiteto na nchi kwa ujumla kwani amejipambanua kuwa kiongozi mwenye kubeba maono ya maendeleo endelevu.

Pia Mbunge Ole Lekaita ameipomgeza serikali kwa kukubali na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kongwa (Hogoro) – Kibaya – Orkesimet – Oljoro – Arusha pamoja na barabara ya Chemba, Kiteto, Kilindi hadi Handeni mkoani Tanga.

Kadhalika, ameipongeza serikali kwa kurahisisha huduma za upatikanaji wa elimu kwa kujenga shule shikizi ambapo amesema kuwa tayari mchakato umeanza wa kusajili shule hizo zote katika wilaya ya Kiteto ili ziwe shule kamili.

MWISHO

WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.37.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.35(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.28.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.29.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.25.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.34.26.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.24.59(1).jpeg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.24.56.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.24.56.jpeg
    118.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.24.40.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-22 at 09.24.40.jpeg
    104 KB · Views: 1
Kazitoa mfukoni kwake au?

Hebu acheni kusifia kijinga. Kauli kama hizi mwisho wa siku zinaaminisha viongozi kuwa hata stahiki zenu ni misaada toka kwao.
 
MILIONI 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO-MBUNGE OLE LEKAITA

Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika.

Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na Kata ya Sunya Wilayani Kiteto limekamilika baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi.

Akizungumza leo tarehe 21 Septemba 2023 kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika katika kijiji cha Chang'ombe, Olgira, na Mbikasi akiwa katika ziara ya Jimbo ya siku tatu kuanzia tarehe 21/23 Septemba 2023 Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia kwa uthubutu wake wa kujenga daraja hilo lililokuwa kikwazo kwa wananchi huku likikusudiwa zaidi kurahisisha usafirishaji wa mazao ya chakula na biashara.

Amesema kuwa maendeleo yanayofanywa na Rais Samia yanaacha alama kubwa na tunu katika wilaya ya Kiteto na nchi kwa ujumla kwani amejipambanua kuwa kiongozi mwenye kubeba maono ya maendeleo endelevu.

Pia Mbunge Ole Lekaita ameipomgeza serikali kwa kukubali na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kongwa (Hogoro) – Kibaya – Orkesimet – Oljoro – Arusha pamoja na barabara ya Chemba, Kiteto, Kilindi hadi Handeni mkoani Tanga.

Kadhalika, ameipongeza serikali kwa kurahisisha huduma za upatikanaji wa elimu kwa kujenga shule shikizi ambapo amesema kuwa tayari mchakato umeanza wa kusajili shule hizo zote katika wilaya ya Kiteto ili ziwe shule kamili.

MWISHO
za samia? familia yake iliridhia mama yao achukue pesa za familia kutoka zamzibar akawajengee daraja watu wa kiteto?

nchi hii hata wasomi mmekuwa wapumbavu
 
Bila shaka alitoa mfukoni au kwenye personal account yake kabisa.
 
Ni mjinga tu ndiye anaamini serikali kwa kutumia kodi za wananchi haiwezi kufanya shughuri za maendeleo.
Mama Samia hana hizo pesa.
 
Katoa mfukoni mwake au kwenye account yake binafsi
 
Duh sasa nimeelewa kwnn anatembea na mabomu na maaskari wenye binduki kubwakubwa. Kumbe mheshimiwa ana mapesa mengi hivi?
 
Ni jambo jema, lakini linaonekana kama Daraja la millioni 450 au 500 millioni 700 ni upigaji wa fedha za kodi za Wananchi.
 
MILIONI 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO-MBUNGE OLE LEKAITA

Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika.

Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na Kata ya Sunya Wilayani Kiteto limekamilika baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi.

Akizungumza leo tarehe 21 Septemba 2023 kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika katika kijiji cha Chang'ombe, Olgira, na Mbikasi akiwa katika ziara ya Jimbo ya siku tatu kuanzia tarehe 21/23 Septemba 2023 Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia kwa uthubutu wake wa kujenga daraja hilo lililokuwa kikwazo kwa wananchi huku likikusudiwa zaidi kurahisisha usafirishaji wa mazao ya chakula na biashara.

Amesema kuwa maendeleo yanayofanywa na Rais Samia yanaacha alama kubwa na tunu katika wilaya ya Kiteto na nchi kwa ujumla kwani amejipambanua kuwa kiongozi mwenye kubeba maono ya maendeleo endelevu.

Pia Mbunge Ole Lekaita ameipomgeza serikali kwa kukubali na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kongwa (Hogoro) – Kibaya – Orkesimet – Oljoro – Arusha pamoja na barabara ya Chemba, Kiteto, Kilindi hadi Handeni mkoani Tanga.

Kadhalika, ameipongeza serikali kwa kurahisisha huduma za upatikanaji wa elimu kwa kujenga shule shikizi ambapo amesema kuwa tayari mchakato umeanza wa kusajili shule hizo zote katika wilaya ya Kiteto ili ziwe shule kamili.

MWISHO
Hizo hela zinatokana na mshahara wa Rais au zinatokana na Kodi za wananchi?
 
Back
Top Bottom