Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1695393495373.png

Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli.

Pia limekuja wakati ambapo kuna harakati za serikali kununua umeme kutoka kwenye kampuni ya Pan African Energy Tanzania Ltd (PAET), yeye vinu vyake huko kusini mwa Tanzania. Kampuni ya PAET ni kama IPTL.

Hadi 2015 kampuni ya IPTL ilimilikiwa na Mechmar pamoja na VIP Engineering. Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 15, baada ya 2015 umiliki wa IPTL ulitakiwa uhamie serikalini.

Miaka 2 kabla ya muda wa mkataba kuisha, ikulu ya Tanzania chini ya Rais Kikwete iliuza IPTL kwa Singh Habinder wa PAP na kuwawezesha kina Singh kupata access ya pesa kwenye account ya Escrow pale Benki Kuu.Nao kina Singh waligawana na kubeba pesa taslim kutoka Stanbic Bank.

Sasa kampuni ya Pan-African Energy iko inazalisha umeme ili kuiuzia serikali kama ilivyokuwa inafanya IPTL. Akiwa katika harakati za kutibu kabisa uoungufu wa umeme, hayati Magufuli aliacha amekamilisha Miradi ya Kinyerezi I, Kinyerezi II, na KInyerezi III. Kabla hajafa alikuwa mbioni kuanza utekelezaji wa Kinyerezi IV.

Lakini sasa Mradi wa Kinyerezi IV umesitishwa kabisa, wakati gesi inayotakiwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huu ipo imejaa tele. Lengo ni kutengeneza uhaba wa umeme na hivyo Pan-African Energy kupata uhalali wa kuzalisha na kuuzia serikalini umeme.

Wapiga dili na madalali wa kuuza nchi walioshuhudiwa katika enzi za Kikwete wamerudi ikulu!

Lengai Ole Sabaya pamoja na matatizo yake yote aliwahi kuongea vizuri juu ya hili kama ifuatavyo:
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2023-09-22 at 3.47.18 PM.mp4
    1.3 MB
Mgao wa umeme kwa jiji hili la dar ccm wanajipiga kitanzi umeme unagusa maisha ya watu moja kwa moja la bandari wakazi wengi wa dar wamepotezea sasa hili la mgao wa umeme ccm itakuwa na hali mbaya majimboni

Shughuli nyingi za uchumi jiji hili zinatemea umeme
 
View attachment 2758556
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV.

Pia limekuja wakati ambapo kuna harakati za serikali kununua umeme kutoka kwenye kampuni ya Pan African Energy Tanzania Ltd (PAET), yeye vinu vyake huko kusini mwa Tanzania. Kampuni ya PAET ni kama IPTL.

Hadi 2015 kampuni ya IPTL ilimilikiwa na Mechmar pamoja na VIP Engineering. Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 15, baada ya 2015 umiliki wa IPTL ulitakiwa uhamie serikalini.

Miaka 2 kabla ya muda wa mkataba kuisha, ikulu ya Tanzania chini ya Rais Kikwete iliuza IPTL kwa Singh Habinder wa PAP na kuwawezesha kina Singh kupata access ya pesa kwenye account ya Escrow pale Benki Kuu.Nao kina Singh waligawana na kubeba pesa taslim kutoka Stanbic Bank.

Sasa kampuni ya Pan-African Energy iko inazalisha umeme ili kuiuzia serikali kama ilivyokuwa inafanya IPTL. Mradi wa Kinyerezi IV umesitishwa ili kutengeneza uhaba wa umeme na hivyo Pan-African Energy kupata uhalali wa kuiuzia serikali umeme.

Wapiga dili na madalali wa kuuza nchi walioshuhudiwa katika enzi za Kikwete wamerudi ikulu! Na sio kwenye umeme pekee. Taarifa zaidi kufuata.
Habari mkuu
Nadhani Mama Dr.SSH hajapewa taarifa juu ya huu ufisadi. Naomba washauri wa mama wampe taarifa na wampe ushauri stahiki wa jinsi ya kuushughulikia huu ufisadi.
Ahsante
 
View attachment 2758556
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV.

Pia limekuja wakati ambapo kuna harakati za serikali kununua umeme kutoka kwenye kampuni ya Pan African Energy Tanzania Ltd (PAET), yeye vinu vyake huko kusini mwa Tanzania. Kampuni ya PAET ni kama IPTL.

Hadi 2015 kampuni ya IPTL ilimilikiwa na Mechmar pamoja na VIP Engineering. Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 15, baada ya 2015 umiliki wa IPTL ulitakiwa uhamie serikalini.

Miaka 2 kabla ya muda wa mkataba kuisha, ikulu ya Tanzania chini ya Rais Kikwete iliuza IPTL kwa Singh Habinder wa PAP na kuwawezesha kina Singh kupata access ya pesa kwenye account ya Escrow pale Benki Kuu.Nao kina Singh waligawana na kubeba pesa taslim kutoka Stanbic Bank.

Sasa kampuni ya Pan-African Energy iko inazalisha umeme ili kuiuzia serikali kama ilivyokuwa inafanya IPTL. Mradi wa Kinyerezi IV umesitishwa ili kutengeneza uhaba wa umeme na hivyo Pan-African Energy kupata uhalali wa kuiuzia serikali umeme.

Wapiga dili na madalali wa kuuza nchi walioshuhudiwa katika enzi za Kikwete wamerudi ikulu!

Lengai Ole Sabaya pamoja na matatizo yake yote aliwahi kuongea juu ya hili kama ifuatavyo:
Makamba katuingiza matatizoni kabisa alafu watu wanamchekea
 
Atumbue mtu basi... kelele nyiingi vitendo sifuri.

Achukue MAHARAGE yale ayale na Chapati.

Hapa tunajipanga wananchi wakitupa kura nyingi na wabunge wote wa ccm wakishinda kwa kishindo tunawapatia muarobaini kero zote za nchi hii wananchi wataenjoy maisha kama nchi za dunia ya kwanza .
 
View attachment 2758556
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV.

Pia limekuja wakati ambapo kuna harakati za serikali kununua umeme kutoka kwenye kampuni ya Pan African Energy Tanzania Ltd (PAET), yeye vinu vyake huko kusini mwa Tanzania. Kampuni ya PAET ni kama IPTL.

Hadi 2015 kampuni ya IPTL ilimilikiwa na Mechmar pamoja na VIP Engineering. Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 15, baada ya 2015 umiliki wa IPTL ulitakiwa uhamie serikalini.

Miaka 2 kabla ya muda wa mkataba kuisha, ikulu ya Tanzania chini ya Rais Kikwete iliuza IPTL kwa Singh Habinder wa PAP na kuwawezesha kina Singh kupata access ya pesa kwenye account ya Escrow pale Benki Kuu.Nao kina Singh waligawana na kubeba pesa taslim kutoka Stanbic Bank.

Sasa kampuni ya Pan-African Energy iko inazalisha umeme ili kuiuzia serikali kama ilivyokuwa inafanya IPTL. Mradi wa Kinyerezi IV umesitishwa ili kutengeneza uhaba wa umeme na hivyo Pan-African Energy kupata uhalali wa kuiuzia serikali umeme.

Wapiga dili na madalali wa kuuza nchi walioshuhudiwa katika enzi za Kikwete wamerudi ikulu!

Lengai Ole Sabaya pamoja na matatizo yake yote aliwahi kuongea juu ya hili kama ifuatavyo:
Anguko la kisiasa dhidi ya mtu limeandaliwa vizuri sana

CCM Hoyeeee
 
Hana tofauti na hao anaowasema. Jizi tu. Hoja naikubali,mtoaji hapana. Jiziii!
 
Back
Top Bottom