Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana !
Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa...
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwamba ni vema Wadau wakavuta subira badala ya kutaka kila aliyetajwa kwenye ripoti ya CAG achukuliwe hatua, yapo maeneo ambayo ni lazima...
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma...
Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar.
Career Highlights
Professor...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la...
Kwa Lugha ya picha ni kama watu mko safarini na ghafla gari mlilopanda likwame matopeni.
Haiyumkiniki nyie mlio garini wenyewe ndiyo muwe na uwezo wa kujikwamua toka matopeni mlipokwama.
Kama...
Katika miaka ya karibuni ukianzia utawala wa Magufuli hadi sasa, tukianza kuorodhesha kuna Watanzania wengi sana wameteuliwa kuwa Mabalozi na wapo wengi tu ambao wameteuliwa na hawajawahi hata...
Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya...
1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL.
2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa...
Naupongeza uteuzi wa Mabalozi wapya uliofanywa na Rais Kikwete na kira gazes TBC1 hivi punde.
--------
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao...
Nchi hii kwa sasa inapita katika kipindi kigumu sana kutokana na uhaba wa umeme.
Uhaba huu wa umeme kwa asilimia kubwa huwa ni wa kutengenezwa tu na baadhi ya mafisadi.
Tatizo kubwa hapo ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka...
Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta!
Jambo hili...
Tulianza na majibizano makali ya hoja kati ya chama kinachitawala kijiji chetu na kile chama mbadala, walioshindwa kwa hoja wakaanza kutumia mabavu, wakashinda.Hawakuishia hapo wakawageukia...
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika...
CHADEMA kimekuwa kikienda na mdundo wa CCM, na CCM inawapa matukio mengi ili waendelee ku-exist. Hivi CHADEMA hawawezi kufanya kampeni bila kuitaja CCM au kuongelea hotuba za Rais?
Wenzao huko...
Kweli kiongozi wa ngazi za juu wa chama unashindwa kutumia lugha ya staa kuwasilisha jambo lako?
Hakika ndani ya ccm unaweza kusema lolote na ukapigiwa makofi na vigelegele.
Msikilizeni huyu...
Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba.
Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa.
Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili...