Nyabutoro
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 1,342
- 1,603
Tulianza na majibizano makali ya hoja kati ya chama kinachitawala kijiji chetu na kile chama mbadala, walioshindwa kwa hoja wakaanza kutumia mabavu, wakashinda.Hawakuishia hapo wakawageukia wanaopenda kuleta hoja fikirishi ndani ya chama kinachotawala kijiji, wanakaribia kuwashinda.Mtifuano wa watumia mabavu na watumia akili unaenda kutimiza utabiri wa Mwalimu wangu wa Mwitongo, tusubiri.