Uongozi wa Rais Samia umeleta matumaini katika maisha ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi wa Rais samia umeleta matumaini katika maisha ya watanzania,umekuwa nuru kwa wanyonge,umekuwa faraja kwa waliokata Tamaa,umekuwa Neema kwa wengi na umekuwa baraka kwa Wote na kuleta furaha katika mioyo ya watanzania. Kwa sasa watanzania wengi sana wana matumaini ya kufanikiwa kimaisha na kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto zake. kutokana na mazingira wezeshi yaliyo tengenezwa na Rais samia na serikali yake.

Ikumbukwe ya kuwa hakuna jambo linakatisha Tamaa kwa mwanadamu kama kukosa matumaini katika maisha,hata mgonjwa akikosa matumaini hawezi akachukua muda mrefu kuishi hapa Duniani. matumaini huamsha morali katika moyo wa mtu ,huleta nguvu ,huchochea mtu kujituma na kutokukata Tamaa katika jambo fulani hata kama anapitia magumu na vikwazo viliaje ,lakini ni lazima atang'ang'ana kusonga mbele na kupambana kwa kuwa anauona na ana matumaini ya kupata ushindi mbele yake.

Kila mtanzania kwa sehemu yake ana amani kwa kuwa anaona akikaribia kufika kilele cha mafanikio yake,hii ni kutokana na serikali ya Rais samia kuwa muwezeshaji wa watanzania kila mmoja kwa Eneo lake,hii ndio maana unaona serikali ikiwekeza katika ujenzi wa miundombinu ili wakulima wasafirishe mazao yao kwenda sokoni bila shida, hii ndio maana unaona serikali ya Rais samia ikitoa Elimu bure ili kujenga matumaini hata kwa watoto maskini yakuja kupata Elimu mpaka pale wanapohitaji kufika, hii ndio maana serikali ya Rais samia inaboresha huduma za afya katika hospitali za serikali ili watu waone kuwa wanaweza kupata matibabu na huduma nzuri katika hospitali zao na kupona maradhi hata pasipo kwenda hospitali za binafsi ambazo wengi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa kwa baadhi ya hospitali.

Hii ndio maana serikali inaboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na kuwa na uhakika wa kupata stahiki zao na malipo yao kwa wakati pamoja na viinua mgongo vyao. Hii ndio sababu ya kuona kila mtanzania anachapa kazi na kuwa na matumaini ya kufaidika na jasho lake,hii ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu pasipo manung'uniko kutoka kwa watu ,kwa kuwa hakuna aliyefungwa kamba katika shughuli anayoifanya,kila mtu ana nafasi ya kupata fedha na kupata utajiri. Aliye chini ana nafasi ya kupanda juu pasipo kushushwa na serikali ,lakini pia aliye juu anayo nafasi ya kukua zaidi kulingana na juhudi zake mwenyewe.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Mbona umeanza ku-recycle materials au vya kusifia vimekwisha ?

Ushauri fanya research na ongelea vitu vya ukweli angalau ongeza chumvi sasa mtu ukiwa nyekundu unaita nyeusi unaonekana wa ajabu...,

Matumaini wakati wapo gizani na bidhaa zimepanda bei (angalau katika umeme watu waliaminishwa Bwawa likiisha Nishati itashuka Bei - Sasa hivi tunaambiwa haitashuka) wengine walionganishwa kwa elfu 27 sasa hivi wamefutiwa..,

Hayo matumaini unayoyaona wewe wape hizo Binoculars zako na wengine waweze kuyaona (actually unahitaji microscope ili kuyaona); Mbaya zaidi kama amezungukwa na watu kama wewe nyie ndio enablers mnaosababisha mambo yaendelee kuwa hovyo bila kurekebishwa....

1695647704355.png
 
Matumaini kwenye Tumbo lako shetani. Joka la kijani
 
Punguza makasiriko ndugu yangu .Naamini ni kwa chuki binafsi tu ulizonazo nazo katika kifua chako ndizo zinakufanya usione mema na makubwa yanayofanywa na serikali ya Rais samia kwa Watanzania.lakini mamilioni ya watanzania wanaona kazi kubwa inayofanywa na serikali na na ndio maana wanaendelea kuiunga mkono serikali yetu. Wewe kaa na mahasira na machuki yako hayo hadi upasuke.
 
Mbona umeanza ku-recycle materials au vya kusifia vimekwisha ?

Ushauri fanya research na ongelea vitu vya ukweli angalau ongeza chumvi sasa mtu ukiwa nyekundu unaita nyeusi unaonekana wa ajabu...,

Matumaini wakati wapo gizani na bidhaa zimepanda bei (angalau katika umeme watu waliaminishwa Bwawa likiisha Nishati itashuka Bei - Sasa hivi tunaambiwa haitashuka) wengine walionganishwa kwa elfu 27 sasa hivi wamefutiwa..,

Hayo matumaini unayoyaona wewe wape hizo Binoculars zako na wengine waweze kuyaona (actually unahitaji microscope ili kuyaona); Mbaya zaidi kama amezungukwa na watu kama wewe nyie ndio enablers mnaosababisha mambo yaendelee kuwa hovyo bila kurekebishwa....

Acha upotoshaji wako hapa mkuu Mfumuko gani huo unaouzungumzia na kwa bidhaa gani wakati unaona wakenya wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kutokana na kwao bei ya mafuta kuwa kubwa sana.
 
Mwalimu Nyerere angekuwa hai naamini hata wewe ungewekwa katika kundi la wajinga kwa kujipa upofu wa akili wa kutokuona kazi kubwa na mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais samia.
 
Habari ya mjini ni uchapa kazi wa Rais samia uliyogusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuleta nuru kwa wengi. Kwa hakika Mungu yupo upande wa Rais samia
Siku hizi wazalendo wote wanawaza namna bora tu ya kulibonda kichwa na kuliua hili joka la kijani. 🐍
 
Mwalimu Nyerere angekuwa hai naamini hata wewe ungewekwa katika kundi la wajinga kwa kujipa upofu wa akili wa kutokuona kazi kubwa na mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais samia.
Mjinga ni bora sababu hajui na ukimwelesha anakuelewa kwahio anaondoa ujinga wake.., wewe ningekuita mpumbavu kama pamoja na kueleweshwa ungengangania kubaki kwenye mtizamo wako ila nina uhakika wewe sio kipofu kiasi hicho sio kwamba hujui bali unapindisha ukweli sijui kwa manufaa ya nani...,

Hivyo kwa mtizamo wangu wewe ni Chawa na kwa mtizamo wangu ni heri kuwa mpumbavu sababu ungekuwa unangangania mtizamo wako ambao unadhani ni sahihi ila wewe najua uelewa unao bali unapindisha ukweli sijui kwanini..., ila nadhani kichwa chako kinatawaliwa na tumbo lako....
 
Habari ya mjini ni uchapa kazi wa Rais samia uliyogusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuleta nuru kwa wengi. Kwa hakika Mungu yupo upande wa Rais samia
Acha kukaza fuvu wewe! Hilo Joka lenyewe la kijani 🐍unalifahamu kweli? Tuanzie hapa kwanza.
 
Nyie Endeleeni na ngonjera zenu mlipo kaa hapo hapo wakati Taifa linaendelea kusonga mbele kwa mafanikio makubwa,huku kila mwenye kufanya kazi akifaidika na jasho lake.
 
Ila mama alishakukataeni nyinyi mnao msifia na kusema kuwa mama anaupiga mwingi Baada ya kugundua mnampamba Ili muendelee kuiba

Leo nimepita maeneo ya kamata pale Naona bandali kavu Magali yamejaa kipindi Cha Magufuli pale walikuwa wanalala paka na panya

Lazima mumsifie sana maana Sasa wapugaji mpo huru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom