Hivi kuna matatizo gani yaliyofanyika na kutokea wakati Jakaya Kikwete yupo madarakani yanashabihiana na haya yanayoendea sasa nchini?

Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.

Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.

Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.

Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Kuna haja ya kufanyika utafiti juu ya jamii hii ya Mwambao wa bahari
 
Harufu hii iliibuka ghafla chuma kilipolala! Wakati baadhi wanashangilia wengine tulijua sinema ndio zinaanza. Tumerudi awamu ya nne na kurithi kila baya.
 
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.

Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.

Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.

Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Moderators futeni huu uzi haraka sana hauna maana ni uzushi tupu.
 
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.

Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.

Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.

Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Huyu ndiyo anaendesha nje na wapiga dili wenzake
 
Harufu hii iliibuka ghafla chuma kilipolala! Wakati baadhi wanashangilia wengine tulijua sinema ndio zinaanza. Tumerudi awamu ya nne na kurithi kila baya.
Kipindi cha Dikteta ilikuwa siyo rahisi kumuona JK anaongea ongea na kuwakilisha nchi sijui, sahivi karudi na wapiga dili wenzake kwa kasi sn.
 
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.

Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.

Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.

Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Create a problem then pretend to offer a solution.

Upigaji mwingine in the making.
 
Tatizo la ajira linalokutesa lipo dunian kote,ondoka kwa shemej yako,tumia nguvu ulizonazo ujiingizie kipato,kuendelea kukaa kwa shemej yako itakuletea msongo wa mawazo na kuja na nyuzi za aina hii

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu amerudi tena madarakani kwa mlango wa nyuma.

Hii nchi haitokaa sawa mpaka yule mzee akipumzika kwa amani. Kinyume na hapo upigaji utaendelea mpaka tuite maji mma.

Hakuna hulka mbaya kwa mwanadamu kama ulafi na kutokinai.
Una uthibitisho?mkiambiwa mthibitishe mnaanza kusingizia pombe 'et ooh nililewa banana ndio mana nikaandika vile

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu Kikwete huyo huyo ndio ameshika Remote kwa sasa.
Ngalawa inayumba ila yeye hataki na amegoma kuachia Remote Control!
 
Una uthibitisho?mkiambiwa mthibitishe mnaanza kusingizia pombe 'et ooh nililewa banana ndio mana nikaandika vile

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
JF ni sehemu mbaya sana kujaribu kutetea kula yako. Amini unachoamini na acha wengine waamini wanayoamini.

Ukishupaza shingo hapa kujifanya una uchungu sana na mtu mmoja utaambulia kughadhibika tu.
 
Back
Top Bottom