Chama ambacho kimewapeleka wapiga kura wake kuzimu kwa kuwahadaa mengi ya uongo:
Chama ambacho kimeruhusu raslimali za Nchi ziuzwe na kugawiwa hovyo kwa wageni bila utaratibu na wakati mwingine...
Kama nilivyowahi kusema Freeman Mbowe Ndiye Mwenyekiti wa chama cha upinzani mwenye mafanikio zaidi hapa nchini
Lakini pamoja na mafanikio hayo mh Mbowe alijikwaa kwenye maeneo matatu kama...
Mungu, Watanzania wamepigika na wamechoka kweli kweli. Wakati Watanzania wanahangaika kila siku kutafuta angalau mlo wa siku, Mawaziri, Wabunge na waandamizi wengine wa serikali wanaishi maisha ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini...
Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.
Hii inahusu viongozi wote...
Ni nadra kabisa au hata tuseme haiwezekani kabisa, kuwe na uovu mkubwa kabisa kama vile wizi wa pesa ya umma, CCM isihusike. Na wengi ndani ya CCM, umoja wao umejengeka katika uovu. Na waovu wengi...
Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa...
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna...
MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA
Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi...
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la CHADEMA liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo...
CCM, kiasili ni chama cha waovu, hata kwa mtu binafsi ni vigumu sana, kuiacha asili yake. Hivyo tusitegemee ni rahisi CCM kuuacha uovu.
Ukisikia mafisadi, wapo CCM: Uthibitisho: marehemu Magufuli...
Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone...
Natoa tu angalizo kwa Wananchi wasije wakajichanganya wakadhani ni rahisi hapa Tanzania kutenda kama Senegal
Siasa za Tanzania ni za Kuchumia Tumbo hivyo Harakati zote za kisiasa zimeelekezwa kwa...
Huyu kada wa CHADEMA na mnufaika wa michango ya Join The Chain, Godbless Lema, kaandika kitu cha maana sana huko Twitter (X). Ninamuunga mkono 100% kww maslahi mapana ya taifa. Kaandika hivi...
Paul Makonda ni mbunifu ,mchapakazi asiyeogopa kitu chochote linapokuja swala la kuwahudumia wananchi.
Ndani ya miaka mitano ya uongozi wa Makonda jiji la Dares salaam lilibadilika na kuwa mfano...
Waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ameswma ujenzi wa jengo la mama na mtoto Chato kuanza ndani ya mwaka huu wa fedha 2022/2023 na fedha zipo tayari.
Wananchi waendelee kuchukua tahadhari kutokana na...
Gambo amesema tangu amekuwa mbunge amefanya mikutano mingi ya kuhamasisha maendeleo tofauti na miaka 10 ya uongozi wa Lema aliyedai alikuwa anahimiza ujasiri wa kuitukana Serikali.
“Fikisheni...
Waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa amesema alishangazwa baada ya kuletewa bajeti ya manunuzi ya dola laki 5 kwa basi moja la mwendokasi.
Mchengerwa aliifutilia mbali hiyo bajeti baada ya kubaini ni...
WanaJF,
Heri ya Mwaka Mpya 2023!
Kwa wapenzi wa siasa nchini niambieni Jimbo gani liko hatarini kupotea mwaka 2025. Kwa mtizamo wangu naona wabunge wote waliochaguliwa majimboni 2020 wako...
25 March 2024
Muheza, Tanga
Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa
CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA
Kamanda Yosefa Komba aitisha...