Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea...
Kilichomnyima Salim Kikeke Usemaji mkuu wa Serikali ni Umaarufu wake tu na wala siyo kitu kingine chochote
Ni kama Mbwana Samatta kwenye Taifa Stars akija tu akina Karia wote wanakuwa wadogo...
Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe...
Wahenga mtakumbuka kabla ya Ukarabati wa barabara ya Mwenge palikuwepo na Kituo cha Nyirenda ila ilipoanzishwa ITV kile Kituo cha Nyirenda Watu wakaanza kukiita ITV
Niombe tu kwa mamlaka husika...
Habari zenu ndugu wote.
Naomba samahani kwa kuwa nitakuwa natuma nyuzi nyingi fupi fupi kuanzia leo hadi nimalize yaliyo moyoni mwangu.
Moyoni kumejaa uzito juu ya suali zima la "Hadhi maalumu"...
Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa...
"Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na...
===
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 01, 2023.
===
Kamati kuu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imtemteua Mkuu...
https://youtu.be/A9-xf0Iz7fI?si=RDnLU9HyzCst6el5
Naenda moja kwa moja kwenye Maswali yangu matatu kwa wachochezi.
1. Nyote mnaolalamika na kumlalamikia Mhe Rais wetu mchapakazi Dkt Samia Suluhu...
Kwenye hili naamini tutakubaliana.
Ukipita huku mitandaoni hasa hapa JF unaweza ukadhani ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan Wananchi wanamchukia kumbe ni propaganda chafu tu za Wapinzani waliokosa...
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.
Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi...
Chama Cha Mapinduzi ( CCM) ni chama kilichopitia changamoto nyingi nyingi na zinazoweza kuhatarisha uwepo wake kama chama tawala lakini licha ya changamoto hizo kimeweza kustahimili kutokana na...
Nimeona Marekani Watu wameandamana na Biden akajumuika nao
Hapo Uingereza Junior Doctors wameanza mgomo wa siku
Hapa kwetu Chadema waliwahi kuandaa maandamano ya UKUTA lakini Shujaa Magufuli...
Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi.
=====
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu...
Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu
Yuko wapi huyu Mwamba?
Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko.
University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six...
Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja.
Leo tuizungumzie namna...
Awali ya yote wacha niweke wazi kuwa mimi sio muumini wa Presidential system ila ni mfuasi mkubwa wa Parliamentary system.
Kwa kweli kwa namna yoyote ile kama taifa tulikosea pakubwa wakati...
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"?
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja?
Au hao ndo...