Uchaguzi Senegal unatufundisha muunganiko wa Mahakama na nguvu ya umma

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda wake Bw. Macky Sally alipotaka kubadili Katiba ili aendelee kuongoza muhura wa tatu.

Mwaka 2021 Rais Macky Sally alijaribu kutaka kubadilisha Katiba ili angombee muhura wa tatu katika uchaguzi mkuu wa 2024. Upinzani uliitisha maandamano ya kupinga mchakato huo ambao wengi waliutafsiri ni wa kibinafsi na tamaa ya madaraka ya Rais Macky Sally.

Wapinzani walianza kukutana na mkono wa vyombo vya dola mamia yao wakakamatwa na kufungwa jela ili angarau kupunguza joto la upinzani, lakini bado joto lilikuwa kubwa. Kiongozi mkuu wa upinzani Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye na wafuasi wengine 300 walikamatwa na kufungwa jela huku internet ikiwa imezimwa nchini kote na chama chao cha siasa kikafutwa. Kitendo hicho kiliamsha zaidi hisia za wananchi wa Senegal maandamano yakawa makubwa zaidi kiasi kwamba zoezi la Rais kubadili katiba likakwama.

Baadaye Rais Macky Sally akasogeza uchaguzi mkuu mbele kwamba ufanyike December 2024 badala ya March 2024. Mahakama ya juu nchini Senegal Supreme Court ikatupilia mbali takwa hilo la Rais kusogeza uchaguzi mbele kwamba linakiuka Katiba na ni batili. Pamoja na mahakama kutupilia mbali takwa hilo wananchi waliendelea kuandamana wakitaka tarehe ya uchaguzi kutangazwa huku wakitaka wapinzani waliopo jela waachiliwe.

20240325_162429.jpg

Rais Macky Sally hakuwa na chaguo akatangaza tarehe ya uchaguzi ambao ulifanyika juzi Jumapili 24 March 2024 na pia ndani ya saa 48 akawaachia wafungwa wote wa kisiasa akiwemo mpinzani mkuu Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake wa karibu Bw. Bassirou Diomayo Faye.

Pamoja na kuachiliwa huru kwa wafungwa hao wa kisiasa lakini figisu ilifanyika kumzuia mpinzani mkuu mwenye ushawishi Bw. Ousmane Sonko kugombea uRais nchini Senegal. Lengo lilikuwa upinzani ukipata mgombea asiye na ushawishi basi chama tawala kitashinda kirahisi katika uchaguzi huo ambao tayari Rais Macky Sally alikuwa amemuandaa mrithi wake. Sonko aliliona hilo akaona isiwe tabu akamuunga mkono mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye kama mgombea wa uRais wa upinzani nchini humo. Sonko alizunguka na Faye katika maeneo yote ya Senegal akimuombea kura huku akiwaambia wananchi ukimchagua Faye umenichagua mimi. Kwa umoja wao wameshinda na Bassirou Diomayo Faye ndiye Rais mteule anayesubiri kuapishwa muda wowote kuanzia sasa.

Kwa hiyo Bassirou Diomayo Faye ameshinda uRais kwa sababu kuu mbili.

1. Mahakama ya juu Supreme Court ambayo ilitupilia mbali takwa la Rais kutaka kusogeza uchaguzi mbele kwamba ni batili na linakiuka katiba.

2. Nguvu ya Umma. Wananchi waliandamana kutaka uchaguzi ufanyike na wapinzani waliopo jela waachiliwe haraka kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza ili nao washiriki uchaguzi.

Kwetu mahakama imewekwa mfukoni na dola na kwamba hata jaji mkuu mwenyewe hana sifa za kikatiba yuko katika nafasi hiyo kwa fadhila za dola. Chombo pekee kilichobakia na matumaini ya kusimamia Katiba ni Jeshi la wananchi. Kwamba hata leo ikitokea nguvu ya Umma ikiamua basi pengine jeshi la wananchi ndio linaweza kusimama na wananchi lakini sio bunge wala mahakama.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Ukweli mchungu ambao mgonjwa (chadema) hataki kuunywa chadema ili wapone hawajui wanasimama wapi wanasima kwenye maridhiano au nguvu ya umma.

Huku kwenye nguvu ya umma hawana wafuasi tena kama before 2016 sababu ni moja ajenda yao kuu haileweki ajenda iliyo wapa wafuasi ni ufisadi alipoingia madarakani jpm ajenda yao ikafa kifo cha mende. Ajenda ya chadema kwa sasa ni ipi?
 
Upinzani wa Tanzania ni wakulamba asali, wapo Kwa masilahi binafsi Leo anakuwa upande wa wananchi kwavile hajaonjeshwa asali, akionjeshwa asali kesho anahamia Kwa watawala, hatuna viongozi wenye dira na mitazamo isiyo yumbishwa
 
Usilinganishe utopolo wenu na yanayotokea Senegal. Ni vitu viwili tofauti. Upinzani wa Senegal umeongozwa na kijana wa miaka 44. Huyu mwaka 2003 alikuwa na miaka 19 wakati FREEMAN Mbowe anakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, na Mbowe bado ni Mwenyekiti wa CHADEMA bado

Hiyo nguvu ya umma unayoisema iko wapi? yaani wale mliokuwa nao kwenye maandamano Ya Mwanza, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam?
 
Wapinzani wa Senegal siyo wasaliti wa nchi kama hawa wa Tanzania.

# Lisu tutashitakiwa MIGA tukidai kodi kwenye madini yetu.

# tukichimba bwawa la umeme mvua haitanyesha tena na miti millioni 3 itakatwa hivyo tutatengwa kimataifa.
 
upinzani wenyewe wa kuaminika Tanzania uko wapi

huu wa siku mbili una omba maridhiano

huu wa kelele hata kuendesha vyao vyao tu hawawezi

kabla ya kuilaumu mahakama tujiangalie na wapinzani kweli tuko vzr ama porojo mingi
Wananchi wa kuandamana kwa mikikimikiki na mapambano wako wapi hapa TZ? wapinzani nao ni waoga, mahakama nazo ndizo hivyo tena!
 
sio waoga hawa aminiki kabisa

leo wananchi wana andamana wapinzani wanaomba maridhiano
 
Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda wake Bw. Macky Sally alipotaka kubadili Katiba ili aendelee kuongoza muhura wa tatu.

Mwaka 2021 Rais Macky Sally alijaribu kutaka kubadilisha Katiba ili angombee muhura wa tatu katika uchaguzi mkuu wa 2024. Upinzani uliitisha maandamano ya kupinga mchakato huo ambao wengi waliutafsiri ni wa kibinafsi na tamaa ya madaraka ya Rais Macky Sally.

Wapinzani walianza kukutana na mkono wa vyombo vya dola mamia yao wakakamatwa na kufungwa jela ili angarau kupunguza joto la upinzani, lakini bado joto lilikuwa kubwa. Kiongozi mkuu wa upinzani Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye na wafuasi wengine 300 walikamatwa na kufungwa jela huku internet ikiwa imezimwa nchini kote na chama chao cha siasa kikafutwa. Kitendo hicho kiliamsha zaidi hisia za wananchi wa Senegal maandamano yakawa makubwa zaidi kiasi kwamba zoezi la Rais kubadili katiba likakwama.

Baadaye Rais Macky Sally akasogeza uchaguzi mkuu mbele kwamba ufanyike December 2024 badala ya March 2024. Mahakama ya juu nchini Senegal Supreme Court ikatupilia mbali takwa hilo la Rais kusogeza uchaguzi mbele kwamba linakiuka Katiba na ni batili. Pamoja na mahakama kutupilia mbali takwa hilo wananchi waliendelea kuandamana wakitaka tarehe ya uchaguzi kutangazwa huku wakitaka wapinzani waliopo jela waachiliwe.

Rais Macky Sally hakuwa na chaguo akatangaza tarehe ya uchaguzi ambao ulifanyika juzi Jumapili 24 March 2024 na pia ndani ya saa 48 akawaachia wafungwa wote wa kisiasa akiwemo mpinzani mkuu Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake wa karibu Bw. Bassirou Diomayo Faye.

Pamoja na kuachiliwa huru kwa wafungwa hao wa kisiasa lakini figisu ilifanyika kumzuia mpinzani mkuu mwenye ushawishi Bw. Ousmane Sonko kugombea uRais nchini Senegal. Lengo lilikuwa upinzani ukipata mgombea asiye na ushawishi basi chama tawala kitashinda kirahisi katika uchaguzi huo ambao tayari Rais Macky Sally alikuwa amemuandaa mrithi wake. Sonko aliliona hilo akaona isiwe tabu akamuunga mkono mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye kama mgombea wa uRais wa upinzani nchini humo. Sonko alizunguka na Faye katika maeneo yote ya Senegal akimuombea kura huku akiwaambia wananchi ukimchagua Faye umenichagua mimi. Kwa umoja wao wameshinda na Bassirou Diomayo Faye ndiye Rais mteule anayesubiri kuapishwa muda wowote kuanzia sasa.

Kwa hiyo Bassirou Diomayo Faye ameshinda uRais kwa sababu kuu mbili.

1. Mahakama ya juu Supreme Court ambayo ilitupilia mbali takwa la Rais kutaka kusogeza uchaguzi mbele kwamba ni batili na linakiuka katiba.

2. Nguvu ya Umma. Wananchi waliandamana kutaka uchaguzi ufanyike na wapinzani waliopo jela waachiliwe haraka kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza ili nao washiriki uchaguzi.

Kwetu mahakama imewekwa mfukoni na dola na kwamba hata jaji mkuu mwenyewe hana sifa za kikatiba yuko katika nafasi hiyo kwa fadhila za dola. Chombo pekee kilichobakia na matumaini ya kusimamia Katiba ni Jeshi la wananchi. Kwamba hata leo ikitokea nguvu ya Umma ikiamua basi pengine jeshi la wananchi ndio linaweza kusimama na wananchi lakini sio bunge wala mahakama.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
nguvu ya umma unaitoa wapi bila kua na hoja wala agenda🐒
Mahakama ifanyaje sasa, na huweza thibitisha tuhuma malalamiko yako pasina shaka 🐒
 
Ukweli mchungu ambao mgonjwa (chadema) hataki kuunywa chadema ili wapone hawajui wanasimama wapi wanasima kwenye maridhiano au nguvu ya umma.

Huku kwenye nguvu ya umma hawana wafuasi tena kama before 2016 sababu ni moja ajenda yao kuu haileweki ajenda iliyo wapa wafuasi ni ufisadi alipoingia madarakani jpm ajenda yao ikafa kifo cha mende. Ajenda ya chadema kwa sasa ni ipi?
kwahiyo Chadema ni mgonjwa na hataki dawa🐒
 
Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda wake Bw. Macky Sally alipotaka kubadili Katiba ili aendelee kuongoza muhura wa tatu.

Mwaka 2021 Rais Macky Sally alijaribu kutaka kubadilisha Katiba ili angombee muhura wa tatu katika uchaguzi mkuu wa 2024. Upinzani uliitisha maandamano ya kupinga mchakato huo ambao wengi waliutafsiri ni wa kibinafsi na tamaa ya madaraka ya Rais Macky Sally.

Wapinzani walianza kukutana na mkono wa vyombo vya dola mamia yao wakakamatwa na kufungwa jela ili angarau kupunguza joto la upinzani, lakini bado joto lilikuwa kubwa. Kiongozi mkuu wa upinzani Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye na wafuasi wengine 300 walikamatwa na kufungwa jela huku internet ikiwa imezimwa nchini kote na chama chao cha siasa kikafutwa. Kitendo hicho kiliamsha zaidi hisia za wananchi wa Senegal maandamano yakawa makubwa zaidi kiasi kwamba zoezi la Rais kubadili katiba likakwama.

Baadaye Rais Macky Sally akasogeza uchaguzi mkuu mbele kwamba ufanyike December 2024 badala ya March 2024. Mahakama ya juu nchini Senegal Supreme Court ikatupilia mbali takwa hilo la Rais kusogeza uchaguzi mbele kwamba linakiuka Katiba na ni batili. Pamoja na mahakama kutupilia mbali takwa hilo wananchi waliendelea kuandamana wakitaka tarehe ya uchaguzi kutangazwa huku wakitaka wapinzani waliopo jela waachiliwe.

Rais Macky Sally hakuwa na chaguo akatangaza tarehe ya uchaguzi ambao ulifanyika juzi Jumapili 24 March 2024 na pia ndani ya saa 48 akawaachia wafungwa wote wa kisiasa akiwemo mpinzani mkuu Bw. Ousmane Sonko na mshirika wake wa karibu Bw. Bassirou Diomayo Faye.

Pamoja na kuachiliwa huru kwa wafungwa hao wa kisiasa lakini figisu ilifanyika kumzuia mpinzani mkuu mwenye ushawishi Bw. Ousmane Sonko kugombea uRais nchini Senegal. Lengo lilikuwa upinzani ukipata mgombea asiye na ushawishi basi chama tawala kitashinda kirahisi katika uchaguzi huo ambao tayari Rais Macky Sally alikuwa amemuandaa mrithi wake. Sonko aliliona hilo akaona isiwe tabu akamuunga mkono mshirika wake Bw. Bassirou Diomayo Faye kama mgombea wa uRais wa upinzani nchini humo. Sonko alizunguka na Faye katika maeneo yote ya Senegal akimuombea kura huku akiwaambia wananchi ukimchagua Faye umenichagua mimi. Kwa umoja wao wameshinda na Bassirou Diomayo Faye ndiye Rais mteule anayesubiri kuapishwa muda wowote kuanzia sasa.

Kwa hiyo Bassirou Diomayo Faye ameshinda uRais kwa sababu kuu mbili.

1. Mahakama ya juu Supreme Court ambayo ilitupilia mbali takwa la Rais kutaka kusogeza uchaguzi mbele kwamba ni batili na linakiuka katiba.

2. Nguvu ya Umma. Wananchi waliandamana kutaka uchaguzi ufanyike na wapinzani waliopo jela waachiliwe haraka kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza ili nao washiriki uchaguzi.

Kwetu mahakama imewekwa mfukoni na dola na kwamba hata jaji mkuu mwenyewe hana sifa za kikatiba yuko katika nafasi hiyo kwa fadhila za dola. Chombo pekee kilichobakia na matumaini ya kusimamia Katiba ni Jeshi la wananchi. Kwamba hata leo ikitokea nguvu ya Umma ikiamua basi pengine jeshi la wananchi ndio linaweza kusimama na wananchi lakini sio bunge wala mahakama.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Unasahau kusema hayo yote yanafanikiwa ikiwa mgombea na Chama chake kinakuwa na Sera zinazogusa matatizo ya wananchi sio undumilakuwili kama vyama tulivyokuwa navyo hapa vinabadilika kutokana na matukio na Chama kinatafuta mgombea ambaye atawapa wabunge wapige ruzuku kama ilivyotokea kwa Chadema 2015
 
upinzani wenyewe wa kuaminika Tanzania uko wapi

huu wa siku mbili una omba maridhiano

huu wa kelele hata kuendesha vyao vyao tu hawawezi

kabla ya kuilaumu mahakama tujiangalie na wapinzani kweli tuko vzr ama porojo mingi
upinzani ni kama wewe ulivyo.
 
Back
Top Bottom