Mwaka wa Fedha 2024/2025 Itakuwa ni Miaka ya Rais Samia Kukamilisha na Kuzindua Miradi Iliyoanzisha awamu ya 5

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Akihutubia Taifa Kwa hotuba ya funga mwaka 2023, Rais Samia alisema mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wa matokeo na hakika matokeo yameanza kuonekana.

Mwaka huu 2024/2025 unaenda kuwa mwaka wa Uzinduzi wa miradi karibu yote ambayo iliasisiiwa na Serikali ya awamu ya 5 ya Mwendazake JP Magufuli Bull dozer Tingatinga.

Screenshot 2024-02-26 113930.png

  • Miradi hiyo ni Sgr ya Dar-Mwanza, tayari Dar-Dom by June train Inaanza
  • Bwawa la Nyerere, tayari mtambo wa 1 umewashwa
  • Daraja la JP Magufuli Mwanza
  • Meli kubwa ya MV Mwanza

My Take
Hongera Mama Kwa kuweza.

Screenshot 2024-02-26 113954.png
 
Moja ya jambo moja la kumsifu Samia ni uwezo wa kusimamia ilani ya chama Cha mapinduzi ya uanzishwaji wa miradi ya kimkakati tofauti na mtangulizi wake aliyeponda au kusitisha miradi ya mwenzake aliyemtangulia au hata kujaribu kufunika miradi ilivyokuwa imekamilika na kujipa sifa yeye. Samia anaimaliza, ameendeleza na kuanzisha mipya ya kwake kwa wakati mmoja.
 
Moja ya jambo Moja la kimsifu Samia ni uwezo wa kusimamia ilani ya chama Cha mapinduzi ya uanzishwaji wa miradi ya kimkakati tofauti na mtangulizi wake aliyeponda au kusitisha miradi ya mwenzake aliyempa gulia
Tena sio tuu amefaulu hayo Bali amefaulu bila visingizio na kuanzisha Utitiri wa miradi Kila sekta na Ajira kama zote.

Mtangulizi wake alisimamisha Baadhi ya sekta zikawa paralysed kisa miradi mikubwa ila Kwa Samia Hilo halipo
 
Akihutubia Taifa Kwa hotuba ya funga mwaka 2023, Rais Samia alisema mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wa matokeo na hakika matokeo yameanza kuonekana.

Mwaka huu 2024/2025 unaenda kuwa mwaka wa Uzinduzi wa miradi karibu yote ambayo iliasisiiwa na Serikali ya awamu ya 5 ya Mwendazake JP Magufuli Bull dozer Tingatinga.

  • Miradi hiyo ni Sgr ya Dar-Mwanza, tayari Dar-Dom by June train Inaanza
  • Bwawa la Nyerere, tayari mtambo wa 1 umewashwa
  • Daraja la JP Magufuli Mwanza
  • Meli kubwa ya MV Mwanza

My Take
Hongera Mama Kwa kuweza.

Mwanamama shupavu, kiongozi madhubuti kuwahi kutokea Tanzania, Africa na dunia nzima 🐒
 
Moja ya jambo moja la kumsifu Samia ni uwezo wa kusimamia ilani ya chama Cha mapinduzi ya uanzishwaji wa miradi ya kimkakati tofauti na mtangulizi wake aliyeponda au kusitisha miradi ya mwenzake aliyemtangulia au hata kujaribu kufunika miradi ilivyokuwa imekamilika na kujipa sifa yeye. Samia anaimaliza, ameendeleza na kuanzisha mipya ya kwake kwa wakati mmoja.
Kuanzisha miradi gani mipya!? Taja miradi 5 mipya aliyoianzisha samia
 
Kuanzisha miradi gani mipya!? Taja miradi 5 mipya aliyoianzisha samia
Kama kijijini kwako hakuna mradi wa maji basi mbunge wenu hafai au wewe ni mzembe au wale wanafiki
2. Kama hakuna Zahanati za kata au hospital ya tarafa/ wilaya mkataeni mbunge
3. Kama mkoani kwako kwako hakuna mradi wa madarasa wewe utakuwa mzembe.
4. Kama hujui mkoani kwako kuna Shule mpya ya bweni ya wasichana
wewe utakuwa Kilaza.
5. Kama hujui kuwa kuna mradi wa reli ya SGR toka Dodoma -Singida- Tabora na Tabora - Shinyanga - Mwanza wewe ni mnafiki
 
Miradi yote inayosema imeanzishwa na ilikuwepo tangu enzi ya Magufuli toa uchawa wako hapa halafu unamwandikia haya ni mtu ninayehusika moja kwa moja katika utekelezaji
 
Miradi yote inayosema imeanzishwa na ilikuwepo tangu enzi ya Magufuli toa uchawa wako hapa halafu unamwandikia haya ni mtu ninayehusika moja kwa moja katika utekelezaji
Wewe ni mpumbavu au ni fala?
-Magufuli alinzisha miradi ya maji Miji 28?
-Magufuli alianzisha miradi ya maji ya Songea,Tanga,Mbeya, Morogoro,Lindi,Dodoma,Kigamboni,Bonyokwa?
-Magufuli alianzisha ujenzi wa bwawa la Kidunda?
-Magufuli alianzisha ujenzi meli ya mizigo Ziwa Tanganyika na cherezo?
-Magufuli alianzisha ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 10 vinavyoendelea Sumbawanga,Kigoma,Shinyanga,Musoma,Mara,Tabora nk?
-Magufuli alianzisha ujenzi wa Barabara za njia 4 Mbeya?
-Magufuli alinzisha miradi ya Kilimo Cha Umwagiliaji Mbarali,Chunya, Morogoro nk?
-Magufuli alianzisha miradi ya umeme wa Malagarasi,Kishapu,Mbeya nk?
-Magufuli aliunganisha Mkoa wa Kigoma na Katavi kwenye gridi ya Taifa?
-Magufuli ndio ameanzisha ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay?,
-Magufuli ndio ameanzisha ujenzi wa veta 67 Nchi nzima?
-Magufuli ndio ameanzisha ujenzi wa Vyuo Vikuu Mikoa yote 14 Tanzania?
-Magufuli ndio kafuta ada form six na kuwapa mikopo Diplomas?
-Magufuli ndio ameleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya Tanzania? Unajua Investments alivyoweka Samia wewe.kuanzia Kwa Wataalamu Hadi vifaa tiba eg CT Scans Mikoa yote,Digital X rays,Wilaya na Vituo vya Afya vyote,ujenzi wa hospital 67 Mpya,Vituo vya Afya 452 ,majengo ya dharula nk?

View: https://twitter.com/vpo_tanzania/status/1760690620417577147?t=2KveZlOFWCLfHXSZ463eFw&s=19

Kiufupi wewe hater hujui kitu na imejaa chuki za kipumbavu.Kwa taarifa Yako tuu Samia ameanzisha miradi mara 2 ya Magufuli na sekta zoote unazozijua wewe kuanzia Afya Hadi Kilimo,Utawala Hadi miundombinu.

Ndani ya miaka 3 ya Samia Mapato game double mara 2 kushinda yake ya miaka 5 ya Mwendazake.Ili uchukie vizuri Samia ndio ataacha Mageuzi makubwa kushinda Rais yeyote wa kabla yake Hadi anaondoka madarakani 2030.Upende au usipende ndio hivyo.

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1760222588368720000?t=gc7wF96VmEswUBxXc9Z-yQ&s=19
 
Miradi yote inayosema imeanzishwa na ilikuwepo tangu enzi ya Magufuli toa uchawa wako hapa halafu unamwandikia haya ni mtu ninayehusika moja kwa moja katika utekelezaji
Ukiondoa bwawa la Nyerere miradi mengine yote aliyofanya Magufuli aliikuta tayari imeshaanza pamoja na kutengewa pesa! So obviously Kila Rais atakuta hivyo.
 
Back
Top Bottom