maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,165
- 1,530
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...
Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa.
Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye.
Aidha, Ireland nao ni wiki hii wamemteua kijana wa miaka 37 kama waziri mkuu. Kijana mwenyewe hata chuo kikuu hakwenda, alienda kuripoti tu na kuondoka.
Sasa basi kwa kuanzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu vijana wa miaka ya 1980 tutawashangaza.
Pia uchaguzi mkuu mwakani tuhamasishane tuweke mgombea wetu atatue changamoto zinazotukabili kama ajira, ulevi WA pombe kali, usimamizi wa madini na resources nyingine na kudharauliwa.
Tumechoka kuambiwa kusubiri, eti vijanav taifa la kesho. Hatuwezi tena kuongozwa na umri mkubwa usiobadili maisha ya watanzania