Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu...
21 Reactions
113 Replies
8K Views
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia. Ingawaje...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu...
10 Reactions
134 Replies
8K Views
Ni Ukweli' ulio Wazi Siasa za 2015 ndio ziliondoa Kabisa Upendo Siasani Machungu waliyopitia Friends of Lowassa watu wanayachukulia poa Lakini Wajue bado hayajapoa hadi yatakapojipoza 2025...
1 Reactions
6 Replies
416 Views
Hajapatikana vitakayemtosha labda avalishwe Komredi Nyani Ngabu Mlale Unono 😀
2 Reactions
8 Replies
681 Views
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa...
0 Reactions
12 Replies
963 Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe . 2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa...
22 Reactions
116 Replies
10K Views
Kuna watu wamezaliwa na bahati ila capacity na creativity hakuna. Watu kama Makonda wanachoweza nikudhalilisha wengine siyo kufanya kazi. Maisha yao yote wanaamini wao wanapaswa kuongoza na...
1 Reactions
0 Replies
877 Views
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza...
28 Reactions
125 Replies
19K Views
Wanabodi, Salaam! Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti. Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Waungwana wa JF nawasalimu, Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na...
31 Reactions
129 Replies
24K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi...
8 Reactions
145 Replies
10K Views
Serikali imewahakikishia majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inafanyia kazi maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi. Waziri wa Nchi...
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla Leo amefuturu futari ya tsh 2500 tu akiwa safarini Mikumi Kigwangalla amesema maisha ni rahisi sana ukiwa simple...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Siyo rahisi kuwatumia Kadi mmoja mmoja hivyo nawaomba mzipokee tu salamu zangu za Pasaka kupitia Uzi huu Itikadi ni Njia tu kutafuta maendeleo kwenye jamii lakini sisi ni Wamoja Mungu wa...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Back
Top Bottom