Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,391
- 1,258
Wanabodi, Salaam!
Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti.
Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua "CCM". So wkt wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 na 2020 wapinzani wakiwa Kagera, Dar, Arusha, Manyara na Dodoma walitumia kete ya migogoro ya ardhi ili kujipatia uungwaji mkono.
Aidha, hata baada ya SSH kuruhusu vyama vya upinzani kuanza mikutano ya kisiasa Tundu Lisu na wenzake huko Arusha na Manyara wametumia turufu hiyo kutaka kujijenga kisiasa. SASA kwa nini CCM kipoteze ushawishi ktk baadhi ya maeneo ya nchi KISA migogoro ya ardhi huku tuna viongozi waliopewa dhamana kuisimamia?
Narudia tena kuwa Paul Christian Makonda anazungumza, anaagiza na kuelekeza watendaji ktk sekta kadhaa kuhakikisha kero ndogo zinaondolewa - na Mwenezi huyu yupo kwa niaba ya CCM. Ni takwa la Ilani ya uchaguzi kuhakikisha watanzania wanafanya shughuli zao bila bughudha, na kunyanyaswa.
Hivyo ili matokeo mazuri yatokee CCM imemtuma Paul Christian Makonda kuwahimiza watendaji kuwajibika positively kwa wananchi. Kwa ufupi ni kuwa Paul Makonda yupo kuwanyima AGENDA CDM, ACT, Umoja, CUF, NCCR Mageuzi na tuvyama twingine.
Hongera Paul Makonda, hongera CCM "kazi iendelee".