Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,329
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .

2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)

Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .

Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa

Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....

Screenshot_2023-10-01-16-49-04-1.png
 
View attachment 2768625
Kasome historia ya Gorbachev!

Siyo kila mtu anachumia tumbo....

Pengine wewe ndiye tumbo wazi....
 
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .

2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)

Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .

Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa

Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....

View attachment 2768625

Tofautisha na mapandikizi yenye vyeo vya uafisa vipenyo ndugu. Hakuna Cha kujisifia hapo zaidi ya kufungua macho zaidi. Tuwe macho na wanaokisahau kipaumbele chetu - katiba mpya.
 
We si ulikataa milioni 10 ukasema tuongeze kidogo sasa hebu njoo basi tutaongeza angalau 40 uje na cheo utapata.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani Mbowe alitokea wapi?
We jinga kubwa, enzi za chama kimoja kila tu/kijana alilazimishwa kujiunga na TYL. (au ulikuwa hujazaliwa). Mimi nililzimika kuchukua kadi ili niende UDSM....and I needed education nikalazimika lkn siyo kwa mapenzi yangu. Baada ya vyama vingi nikatoka nduki na kuja hapa nilipo.
 
Wewe ndio mjinga unayeita Matawi ya CCM ni vyama vingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯🐼
 
Ndio kazi za Siasa kila mtu anapigania tumbo lake

hata 2015 Chadema ilikodisha kiti cha kugombea Urais kwa 4 billion kwa Wagombea kutoka Ccm na ACT ndugu Lowassa na Bab Duni na baada ya kuisha kwa pambano wakarudi zao CCM na kuwaachia makamanda kupigania Chama
 
Back
Top Bottom