BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga...
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina...
Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya.
Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako...
Wadau nawasabahi, nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA. Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA...
Ndugu zangu watanzania, Taifa letu liko katika kipindi kigumu kuwahi kutokea Kulingana na aina ya uongozi uliopo wa Chama na serikali. Baada ya kushuhudia heka heka nyingi zikiwemo za mikataba ya...
Vyama vya siasa vinaongozwa na itikadi ambavyo kwa itikadi hizo vyama hivyo huamini. Wanachama na wapenzi wa vyama hivyo huamini katika hizo itikadi. Ni mara chache sana kuona itikadi ya chama...
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao.
Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani...
Wakuu,
Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea...
Ukiangalia mwenendo wa siasa wa nchi yetu kwa sasa, ni dhahiri shairi viongozi wetu wanawaza kushinda uchaguzi tu hakuna lingine. Tangu wamechaguliwa akili na mawazo yao yapo kwenye namna gani...
Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa.
Wenezi wa chama wote wanateuliwa.
Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi...
Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu.
1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka.
2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi...
Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake.
CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka...
DAKIKA 31:49-37:50
https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy
Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa...
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya...
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.
Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au...
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.
Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo...
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana?
Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika.
Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI...
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.