Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
 
Amos makala anaweza akawa na madhaifu yake lakini kiukweli yeye ni gentleman. Hebu fuatilia utendaji wake alipokuwa RC wa Kilimanjaro, utagundua kwamba yeye ni kiongozi mzuri. Hili ya kupotea katika ulingo wa kisiasa ni kwa muda kwani anaweza kubounce back. Hebu tusubiri tuone hatima yake baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Ahsante
 
Wana CCM wakiwa na vyeo kwenye chama chao huwa wanakuwa wajinga sana, tena hugeuka kuwa hayawani wasiojali utu wa watu wengine!!
Vyeo vya CCM sijui hua vina nini,yaani Polepole aliyekua anafanya kazi kwny vi-NGO uchwara leo anaweza Kumuita Kinana,Makamba,Membe,Lowassa etc pale Lumumba na wakatii fasta then akawatukana weeeeee na cha kumfanya hamna.

dodge
 
We wacha ushamba mkoa wa kilimanjaro ukipewa hata kipofu utakaa.hakuna cha kuonheza kule kila mtu anajuwa wajibu wake
Amos makala anaweza akawa na madhaifu yake lakini kiukweli yeye ni gentleman. Hebu fuatilia utendaji wake alipokuwa RC wa Kilimanjaro, utagundua kwamba yeye ni kiongozi mzuri. Hili ya kupotea katika ulingo wa kisiasa ni kwa muda kwani anaweza kubounce back. Hebu tusubiri tuone hatima yake baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Kwa kuwa umwandika hivyo atakumbukwa soon,
 
Back
Top Bottom