Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote...
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali. Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
112 Replies
4K Views
Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma...
1 Reactions
5 Replies
653 Views
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia...
14 Reactions
51 Replies
3K Views
https://youtu.be/0UZFmqxo2AY?si=2Q43Jp6nYxZ0pW5U Hadi gavana hajui sababu ya matatizo ya $? Auibu Mwenyekiti wa Chama cha watalii Tanzania, Wilbard Chambulo, amesema kuwa dollarization ipo zaidi...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM. 1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme? 2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia...
14 Reactions
49 Replies
5K Views
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana. CAG yupo kwa mujibu wa Katiba kuwepo na kuondolewa kwake lazima kufuate Katiba japo kuna kiongozi tuliwahi kumpata kwa bahati mbaya kiongozi huyo alikuwa...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Bado nafanya Utafiti japo miaka ya 1980s hata hapa bongo Watoto wa wajeda walipendelea kuwa Wanajeshi na Watoto wa Mamwela walipendelea kuwa mapolisi Namkumbuka Oscar Luhanga Mtoto wa Brigedia...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
Hapana shaka CCM ni SSH: ACT-Wazalendo ni ZZK: CHAUMMA ni HRS: CHADEMA ni nani? Maoni yangu; -Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Timothy Apiyo (RIP) aliyekuwa Chief Secretary wa State House enzi za J K Nyerere aliwahi kufanya makosa Kama haya ya CAG Kicheere. Watendaji walileta mapendekezo ya kuboresha mafao ya kustaafu...
2 Reactions
4 Replies
965 Views
Nchi inaenda vizuri sasa Chadema nao waanza kusikiliza kero za migogoro ya Ardhi kama Waziri Slaa. Safi sana. Waziri Slaa upo? https://youtu.be/9UCoZSg0Iv4?si=DgrXa7z7wsWBmgSt
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule...
1 Reactions
4 Replies
508 Views
Back
Top Bottom