JMAT yaitaka CHADEMA kuacha mpango wa kuandamanana mara moja, nchi ipo katika majonzi ya kuondokewa na Lowassa

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki si utu, na kuwa chama hicho watumie muda huu kushikamana kwa kuimarisha upendo.

Hayo yamezungumzwa katika mkutano wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na waandishi wa Habari ulioongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheik Alhad Mussa, wakiongelea juu ya Siku ya Maridhiano Tanzania ambapo Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku itakayofanyika Machi 6/2024, ambapo zoezi hilo litaenda sanjari na zoezi la uchangiaji damu na upandaji miti.

EFM
 
Hiyo Kamati huwa inapinga hadi mabadiliko ya Katiba.
 
Hao CHAWA watulie kwanza
 
Huo msiba wa lowasa inawahusu ccm, serikali, familia yake na machawa wao na watu wachache walio guswa lakini sio msiba wa taifa, na haiwezi kua sababu ya kuzuia wenye shughuli zao kuzifanya
 
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki si utu, na kuwa chama hicho watumie muda huu kushikamana kwa kuimarisha upendo.

Hayo yamezungumzwa katika mkutano wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na waandishi wa Habari ulioongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheik Alhad Mussa, wakiongelea juu ya Siku ya Maridhiano Tanzania ambapo Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku itakayofanyika Machi 6/2024, ambapo zoezi hilo litaenda sanjari na zoezi la uchangiaji damu na upandaji miti.

EFM
Ktk msiba waislam hawana makubwa. Ukisha iacha dunia na wewe huna thamani tena. Kama ulikuwa huswali wala huna muda na dini yako unaenda kufukiwa ukapambane na maisha ya kaburini.
 
Alhad Mussa alipaswa kuongelea hili zogo la wanaokula hadharani kukamata au kupigwa viboko huko Zanzibar
 
Back
Top Bottom