Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
8 Reactions
126 Replies
7K Views
Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;- Kuondoa wakuu wa wilaya Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya...
4 Reactions
15 Replies
838 Views
Ni hekima tu ya kawaida, ikitokea mtaani kuna jambazi muuaji, kawaua baadhi ya wanamtaa, kiasi hata watu wa mitaa ya mbali wakapiga kelele na kutangaza jambazi hilo kukanyaga ardhi yao, waathirika...
14 Reactions
32 Replies
1K Views
CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga...
2 Reactions
5 Replies
803 Views
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao. Nataka kupata majibu ktk maswali haya. 1. Je, kundi hili lina...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako...
3 Reactions
10 Replies
924 Views
Wadau nawasabahi, nilitarajia Mabadiliko ya Viongozi yaliyofanywa na Mh RAIS jana yangeuhusu na MKOA wa RUKWA. Mkoa huu kwa sasa ni kama HAUNA MKUU wa MKOA tofauti na alipokuwepo yule MAMA...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Taifa letu liko katika kipindi kigumu kuwahi kutokea Kulingana na aina ya uongozi uliopo wa Chama na serikali. Baada ya kushuhudia heka heka nyingi zikiwemo za mikataba ya...
3 Reactions
13 Replies
715 Views
Ni udikteta au kutokujiamini!?, mtandao wa X asubuhi hii upo chini! Vipi wewe, kwako X inafunguka?
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Vyama vya siasa vinaongozwa na itikadi ambavyo kwa itikadi hizo vyama hivyo huamini. Wanachama na wapenzi wa vyama hivyo huamini katika hizo itikadi. Ni mara chache sana kuona itikadi ya chama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao. Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Ukiangalia mwenendo wa siasa wa nchi yetu kwa sasa, ni dhahiri shairi viongozi wetu wanawaza kushinda uchaguzi tu hakuna lingine. Tangu wamechaguliwa akili na mawazo yao yapo kwenye namna gani...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa. Wenezi wa chama wote wanateuliwa. Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu. 1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka. 2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi...
3 Reactions
1 Replies
369 Views
Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake. CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka...
4 Reactions
5 Replies
599 Views
DAKIKA 31:49-37:50 https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa...
8 Reactions
43 Replies
8K Views
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul. Cc. Mbunge Mstaafu,
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom