Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake...
1 Reactions
4 Replies
926 Views
Waumini wa KKKT Azania Front jana walimuaga rasmi Mkuu mpya wa Kanisa hilo Askofu Dr Malasusa anayehamia Arusha Risala ya kumuaga ilisomwa wakati wa Ibada ya Pasaka na alizawadiwa Zawadi...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili. Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Ben Mkapa ndio alikuwa tegemeo la kufanya maamuzi kwenye nyakati ngumu Alale Pema Peponi Sasa Chadema kwa Uhuni wao wanatamba sana!
2 Reactions
7 Replies
566 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Askofu Dr Gamanywa amerejea nchini kutokea Israel alikoenda Kuwapa pole Taifa takatifu na kujionea hali halisi ya mapigano Gamanywa amesema Yesu Kristo alisema "nalikuwa mgonjwa hamkuja...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Video inajieleza,hapa nilipo tangu asubuhi umekatika mara 7 na hatimae TV yangu inchi 32 imeungua!!
0 Reactions
1 Replies
370 Views
https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana. Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne. Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena Ili kulinda Demokrasia ya...
20 Reactions
113 Replies
6K Views
Benki ya Dunia WB Kupitia dirisha lake tanzu la mikopo Kwa Nchi maskini Maarufu kama IDA Imetoa Mkopo wa Dola Milioni 200 za Marekani ambazo ni sawa na zaidi ya bil.500 Kwa Ajili ya maboresho ya...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania tuna mazingira mazuri sana ya kupiga hatua kwenda mbele zaidi ya hapa tulipo. Lakini tatizo letu ni nidhamu katika maisha yetu, kila kitu kinafanyika kiholela holela hakuna njia thabiti...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Yale maigizo ya Bashite ya kupanda mikokoteni,matrecta...... yamemchosha Mama wa Kizimkazi. Ni wazi kupitia mikutano yake iliyojaa maigizo na ulaghai uliopitiliza ameonekana ni vyema akapewa...
25 Reactions
102 Replies
8K Views
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya...
15 Reactions
91 Replies
11K Views
Yaani unajua kabisa mteuzi wako kafumba macho na kuziba masikio kisha anakurudisha kwenye mfumo ili ujipange kisha unaanza tena kufanya yaleyale yaliyokuondoa? Makonda kumbe ni kweli ndiye...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom