CCM bila Benjamin Mkapa

CCM bila Benjamin Mkapa

Kwenye kura za maoni watu wataopigwa chini watatikisa chama balaa na hakuna wa kuwakemea!!
Wazee waheshma manguli pale wameisha hakuna wa kumkalisha mwingine chini.
Mfano waasira atamkemea nani mtu aligaragazwa kisiasa na binti mdogo Esta!
Kiku boi atamkalisha nani na aliimbiwa "tunaimaaaniiii na lowaaasaaa" akapagawa.
Chadema wasubiri kuvunja na wasiogope mpaka hiki chama Cha maskini kipasuke!!
 
Ben Mkapa ndio alikuwa tegemeo la kufanya maamuzi kwenye nyakati ngumu

Alale Pema Peponi

Sasa Chadema kwa Uhuni wao wanatamba sana!
CCM imebakia na wazee wachache sana wanaoaminika na kuheshimika kama vile Warioba, Butiku, Msekwa, Mama Makinda, pamoja na Mama Mongela ijapokuwa hawana sauti wala ushawishi mkubwa ndani ya chama. Wazee wengi waliobakia ni wahuni kama wahuni wengine walivyo
 
Kuna Mzee Mmoja anamuogopa sana Makonda na Jina la Magufuli. Yule Mzee wa hivyo sana. Yaani mjini aliyezeeka
 
Back
Top Bottom