Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa...
Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala.
Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii...
Shalom,
Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta.
Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu...
Tafakari namna Hamas walivyoleta mabadiliko Ndani ya Israel kwa kujiingiza kwenye Shirika la Misaada la UN na kufanya kile walichofanya October 7
Hii ni Dunia ya Akili mpya inayokwenda Kasi Sana...
Ndugu zangu, nawaslimu Kwa upendo mwingi sana.
Nimefatila sana mijadala mbali mbali tangu Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mijadala mingi inaonekana kumdhihaki na wengine kutoa...
Ni Mwanasheria Nguli saana. Mwanazuoni wa kupigiwa mfano. Mwanaharakati na mtunzi wa vitabu.
Ni Mwanasiasa mzuri na amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Shalom,Salaam!!
Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo,
Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea...
Ndugu wanajukwaa habari zenu.
Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama.
Imekua kasumba...
Silaha ya kivita inamilikiwa na serikali Ole Sendeka kashambuliwa na silaha ya kivita ila anadai waliomshambulia si serikali. Katika mazingira hayo nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo:
🔷Sasa...
Kwa hili lililojitokeza la tengua pangua wananchi wa Mwanza tutakukumbuka sana CP Makalla kwa muda mfupi umeonyesha weledi na umakini wa kushughulikia miradi ya hapa Mwanza ie uwanja wa ndege...
Kwako kichele CAG
Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa...
Zanzibar ni sehemu ya muungano hata kama ina katiba yake lakini bado ni sehemu ya Tanzania ambapo serikali haina dini
Ukilisoma tamka la serikali kwa umakini utagundua kuwa hakuna walichokemea...
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio...
Kwanini Regional Commissioner(RC)na District Commissioner(DC) huwa wanaitwa mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya badala ya Kamishina mkuu wa mkoa na Kamishina mkuu wa wilaya?
Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.
=====
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...
Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo.
Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata...
Siasa Siyo Uadui
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Lema amemtumia Salamu za Pasaka Njema Spika mstaafu wa Bunge la JMT
Katika salamu hizo Lema ameambatanisha Picha ya Ndugai yenye maneno...
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Aliyesema Watanzania wanahitaji miaka mitatu ya kupewa elimu juu ya katiba wala hakukosea japokuwa watu walimuandama sana. Binafsi nadhani alitakiwa aseme zaidi ya miaka kumi kabisa
Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.