Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vya VETA nchini kamati ya bunge ya PAC yaishauri serikalini iajiri walimu toka India na China
Waliongea hilo wakiwa Singida kukagua chuo cha VETA...
Wasalam mabibi na mababu..
Nikiwa katika Tafakari kubwa sana ni kipi kimemfanya Rais Samia kumtoa Makonda kwenye Uenezi na kumpeleka kama mkuu wa Mkoa wa Arusha! Japokuwa mitaa haiishii soga kuna...
Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko ametangaza kufuta likizo kwa watumishi wote wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akiwataka wote wawe kazini kukabiliana na changamoto ya upungufu wa umeme...
Eti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia.
Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa...
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na...
Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa..
Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana...
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa...
Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani.
Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha...
Wadau nawasalimu.Watanzania Tumekuwa tunapiga kelele KUDAI KATIBA MPYA. Viongozi badala ya kuendeleza Mchakato wa Kupata KATIBA MPYA wameanzisha Jambo jipya na lisilo na TIJA la Kurekebisha baadhi...
Kwa bahati mbaya, watu wengi, na wengine wapo ofisi za juu kabisa katika nchi, wanajua historia ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kinadharia kwa kuegemea tu yale yaliyoandikwa, japo siyo...
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.
Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake...
Rais Samia amesema suluhu ya Tatizo la umeme itapatikana April 2024 baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuzalisha umeme wa Megawatt.470-500
Mambo mazuri yanakuja tuwe na subira
---
Rais Samia...
Wanabodi
Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli...
Habari za Sikukuu ya Pasaka!
Moja ya dalili kubwa kuwa taifa fulani halina rasilimali Watu ni kwa kuangalia safu ya viongozi na watawala.
Ukiona Watu wanaoteuliwa ni walewale yanaitwa miaka...
Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera).
Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake...
Waumini wa KKKT Azania Front jana walimuaga rasmi Mkuu mpya wa Kanisa hilo Askofu Dr Malasusa anayehamia Arusha
Risala ya kumuaga ilisomwa wakati wa Ibada ya Pasaka na alizawadiwa Zawadi...
Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili.
Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.