Miradi ya Kilimo ya Bashe ni Mrija wa Wizi wa Pesa ya Umma.

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,555
41,066
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana.

Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa ekari moja ni shilingi milioni 7.

Ile miradi ni upuuzi wa hali ya juu. Wanaotaka kupata uthibitisho, waende Nzega ambako kuna mradi wa wizi mkubwa wa pesa ya wananchi. Mradi huo pekee umegharimu mabilioni ya pesa kwa kuwapa kandarasi marafiki zake katika kuweka fence na kutengeneza barabara fake kuzunguka eneo lote, kujenga nyumba na kuweka mitambo ya umwagiliaji maji isiyomwagilia kwa sababu hakuna maji. Bwawa dogo la Kilimi ndiyo Bashe anawadanganyia watu kuwa eti ndiyo litatosheleza kumwagilia shamba lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 1,000, wakati bwawa hilo ni dogo sana na wala haliwezi kuwa na maji ya kumwagikia hata ekari 100 wakati wa kiangazi. Bwawa hilo lilichimbwa miaka ya huko nyuma na lilitumika kama chanzo cha maji ya kutumia majumbani kwa wakazi wa Nzega. Hata kwa matumizi tu ya majumbani, maji hayo hayakuwa yanatosheleza wakazi wa Nzega.

Rais Samia ni wa kuonewa huruma, jinsi mawaziri wake wanavyomchezea, na yeye kukosa uwezo wa kupambanua mambo. Mwakajana Samia alipelekwa kwa mbwembwe kwenye shamba hilo akidanganywa kuwa litazalisha mbegu za mahindi za kutumika nchi nzima. Naye akaamini, na bango lipo pale likieleza shamba hilo la upigaji wa pesa ya umma limefunguliwa na Rais Samia.

Mmoja wa makandarasi, siku moja nikiongea naye, alikuwa akitamba kuwa kwenye hizo tenda, hawezi kunyimwa kwa sababu yeye akishalipwa huwa anawakumbuka.

Waandishi wa habari za uchunguzi, nendeni Nzega mkashuhudie lile shamba kichaa lililokula mabilioni ya pesa lakini hali ya mazao ni aheri mashamba ya wananzengo ambao hawajaenda shule hata darasa moja.

Pesa ya umma inachezewa na kufisadiwa na wakuu wa Serikali kwa kupitia miradi bandia ya kilimo. Hili la kusema kuwa eti ni miradi ya kuwasaidia vijana, ni dili kubwa la pesa lililotengenezwa na kusukwa kiujanja sana, na hatimaye wakafanikiwa kumchota Rais, naye bila kutafakari karuhusu watu waibe pesa ya umma.
 
Sasa hivi ana mradi mwingine wa kununua matrekta na kukodisha wakulima wadogo nchi nzima kwa masaa sijui siku.

Jamaa atakuwa tajiri sana ila mahela yanayoenda kwenye kilimo lazima anakula na kigogo mkubwa sana wa juu yake. Aiwezekani kila mwaka atengewe hela nyingi kwenye mipango ambayo watu wengi wanaona kufeli kwake kabla ya hata kuanza.
 
Bashe ni mkali wa imagination sana lakin "into reality" amegonga F. Ni nzuri sana kwenye kuweka mapendekezo ya miradi
 
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana.

Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa ekari moja ni shilingi milioni 7.

Ile miradi ni upuuzi wa hali ya juu. Wanaotaka kupata uthibitisho, waende Nzega ambako kuna mradi wa wizi mkubwa wa pesa ya wananchi. Mradi huo pekee umegharimu mabilioni ya pesa kwa kuwapa kandarasi marafiki zake katika kuweka fence na kutengeneza barabara fake kuzunguka eneo lote, kujenga nyumba na kuweka mitambo ya umwagiliaji maji isiyomwagilia kwa sababu hakuna maji. Bwawa dogo la Kilimi ndiyo Bashe anawadanganyia watu kuwa eti ndiyo litatosheleza kumwagilia shamba lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 1,000, wakati bwawa hilo ni dogo sana na wala haliwezi kuwa na maji ya kumwagikia hata ekari 100 wakati wa kiangazi. Bwawa hilo lilichimbwa miaka ya huko nyuma na lilitumika kama chanzo cha maji ya kutumia majumbani kwa wakazi wa Nzega. Hata kwa matumizi tu ya majumbani, maji hayo hayakuwa yanatosheleza wakazi wa Nzega.

Rais Samia ni wa kuonewa huruma, jinsi mawaziri wake wanavyomchezea, na yeye kukosa uwezo wa kupambanua mambo. Mwakajana Samia alipelekwa kwa mbwembwe kwenye shamba hilo akidanganywa kuwa litazalisha mbegu za mahindi za kutumika nchi nzima. Naye akaamini, na bango lipo pale likieleza shamba hilo la upigaji wa pesa ya umma limefunguliwa na Rais Samia.

Mmoja wa makandarasi, siku moja nikiongea naye, alikuwa akitamba kuwa kwenye hizo tenda, hawezi kunyimwa kwa sababu yeye akishalipwa huwa anawakumbuka.

Waandishi wa habari za uchunguzi, nendeni Nzega mkashuhudie lile shamba kichaa lililokula mabilioni ya pesa lakini hali ya mazao ni aheri mashamba ya wananzengo ambao hawajaenda shule hata darasa moja.

Pesa ya umma inachezewa na kufisadiwa na wakuu wa Serikali kwa kupitia miradi bandia ya kilimo. Hili la kusema kuwa eti ni miradi ya kuwasaidia vijana, ni dili kubwa la pesa lililotengenezwa na kusukwa kiujanja sana, na hatimaye wakafanikiwa kumchota Rais, naye bila kutafakari karuhusu watu waibe pesa ya umma.
Wakati mwingine kumlaumu Rais kunakosa mantiki, wapo watu ni kazi yao kwanza kuzuia upigaji wa aina yoyote kupitia miradi km hii alianzisha Bashe, pili hata km imeanzishwa kuzuia wizi wa aina yoyote ikiwemo kupitia utoaji wa kazi kwa marafiki wa waziri, Rais ana uwezo gani kuona yote haya pasipo kuambiwa? Taasisi yenye matatizo makubwa hapa nchini kwetu na imefeli katika kila jambo na kufaulu kwa jambo moja tu la uchaguzi ni Tiss, tusiwe tunazunguka tatizo wakati linajulikana..sasa kazi ya DSO hapo nzega ni nini? Dawa ni katiba mpya na kui-reform Tiss na majukumu yake, usikute wao ndio wako nyuma ya bashe na uozo wote huu..kwa mfano kwa nini hawataki PCCB itoke ofisi ya Rais iwe chombo huru?
 
Mbona sifa zote zinaenda kwake?
 
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana.

Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa ekari moja ni shilingi milioni 7.

Ile miradi ni upuuzi wa hali ya juu. Wanaotaka kupata uthibitisho, waende Nzega ambako kuna mradi wa wizi mkubwa wa pesa ya wananchi. Mradi huo pekee umegharimu mabilioni ya pesa kwa kuwapa kandarasi marafiki zake katika kuweka fence na kutengeneza barabara fake kuzunguka eneo lote, kujenga nyumba na kuweka mitambo ya umwagiliaji maji isiyomwagilia kwa sababu hakuna maji. Bwawa dogo la Kilimi ndiyo Bashe anawadanganyia watu kuwa eti ndiyo litatosheleza kumwagilia shamba lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 1,000, wakati bwawa hilo ni dogo sana na wala haliwezi kuwa na maji ya kumwagikia hata ekari 100 wakati wa kiangazi. Bwawa hilo lilichimbwa miaka ya huko nyuma na lilitumika kama chanzo cha maji ya kutumia majumbani kwa wakazi wa Nzega. Hata kwa matumizi tu ya majumbani, maji hayo hayakuwa yanatosheleza wakazi wa Nzega.

Rais Samia ni wa kuonewa huruma, jinsi mawaziri wake wanavyomchezea, na yeye kukosa uwezo wa kupambanua mambo. Mwakajana Samia alipelekwa kwa mbwembwe kwenye shamba hilo akidanganywa kuwa litazalisha mbegu za mahindi za kutumika nchi nzima. Naye akaamini, na bango lipo pale likieleza shamba hilo la upigaji wa pesa ya umma limefunguliwa na Rais Samia.

Mmoja wa makandarasi, siku moja nikiongea naye, alikuwa akitamba kuwa kwenye hizo tenda, hawezi kunyimwa kwa sababu yeye akishalipwa huwa anawakumbuka.

Waandishi wa habari za uchunguzi, nendeni Nzega mkashuhudie lile shamba kichaa lililokula mabilioni ya pesa lakini hali ya mazao ni aheri mashamba ya wananzengo ambao hawajaenda shule hata darasa moja.

Pesa ya umma inachezewa na kufisadiwa na wakuu wa Serikali kwa kupitia miradi bandia ya kilimo. Hili la kusema kuwa eti ni miradi ya kuwasaidia vijana, ni dili kubwa la pesa lililotengenezwa na kusukwa kiujanja sana, na hatimaye wakafanikiwa kumchota Rais, naye bila kutafakari karuhusu watu waibe pesa ya umma.
Ule ni upigaji tuwe wakweli , mama yetu kopenzi sehemu ambayo inampa shida ni kudhibiti hela za serikali kuibiwa
 
Nilisikia na ile miradi ya kilimo ya Dodoma iliyokusanya vijana kwa mantiki yakuwasaidia kuwafundisha kilimo cha umwagiliaji na mambo kama hayo kote nako ni kilio kitupu!
 
Yaani mradi huo wangesaidiwa wakulima wa vijijini mbona wangefika mbali sana
Kuna mashamba ya kila aina ila wanakosa msaada na Elimu
Yaani kila sehemu ni upigaji tu
Sijui na yale maji ya kutoka Lake Victoria yaliyokuwa yanaenda mpaka Tabora yaliishia wapi
. Kweli kuna watu hawana hata hofu ya Mungu
 
Sote tunajua ile miradi ya kipuuzi iliyopigiwa sana chapuo na Bashe, aliyoiita ni miradi ya ajira kwa vijana.

Kupitia miradi hiyo, wizi mkubwa wa pesa umefanyika. Walisema kuwa gharama ya kuandaa ekari moja ni shilingi milioni 7.

Ile miradi ni upuuzi wa hali ya juu. Wanaotaka kupata uthibitisho, waende Nzega ambako kuna mradi wa wizi mkubwa wa pesa ya wananchi. Mradi huo pekee umegharimu mabilioni ya pesa kwa kuwapa kandarasi marafiki zake katika kuweka fence na kutengeneza barabara fake kuzunguka eneo lote, kujenga nyumba na kuweka mitambo ya umwagiliaji maji isiyomwagilia kwa sababu hakuna maji. Bwawa dogo la Kilimi ndiyo Bashe anawadanganyia watu kuwa eti ndiyo litatosheleza kumwagilia shamba lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 1,000, wakati bwawa hilo ni dogo sana na wala haliwezi kuwa na maji ya kumwagikia hata ekari 100 wakati wa kiangazi. Bwawa hilo lilichimbwa miaka ya huko nyuma na lilitumika kama chanzo cha maji ya kutumia majumbani kwa wakazi wa Nzega. Hata kwa matumizi tu ya majumbani, maji hayo hayakuwa yanatosheleza wakazi wa Nzega.

Rais Samia ni wa kuonewa huruma, jinsi mawaziri wake wanavyomchezea, na yeye kukosa uwezo wa kupambanua mambo. Mwakajana Samia alipelekwa kwa mbwembwe kwenye shamba hilo akidanganywa kuwa litazalisha mbegu za mahindi za kutumika nchi nzima. Naye akaamini, na bango lipo pale likieleza shamba hilo la upigaji wa pesa ya umma limefunguliwa na Rais Samia.

Mmoja wa makandarasi, siku moja nikiongea naye, alikuwa akitamba kuwa kwenye hizo tenda, hawezi kunyimwa kwa sababu yeye akishalipwa huwa anawakumbuka.

Waandishi wa habari za uchunguzi, nendeni Nzega mkashuhudie lile shamba kichaa lililokula mabilioni ya pesa lakini hali ya mazao ni aheri mashamba ya wananzengo ambao hawajaenda shule hata darasa moja.

Pesa ya umma inachezewa na kufisadiwa na wakuu wa Serikali kwa kupitia miradi bandia ya kilimo. Hili la kusema kuwa eti ni miradi ya kuwasaidia vijana, ni dili kubwa la pesa lililotengenezwa na kusukwa kiujanja sana, na hatimaye wakafanikiwa kumchota Rais, naye bila kutafakari karuhusu watu waibe pesa ya umma.
Samia mwenyewe anapenda upigaji na anawapenda wapigaj. Nakumbuka alianza na vijembe dhidi ya jpm eti yeye hapendi kukoromea mtu na anataka nidhamu ya moyoni. Nidhamu ya moyoni hata kwenye dini hawaipati kirahisi ndio kwenye haya mambo ya kuongoza nch?. Alitakiwa mwanamapinduzi kuongoza chama cha mapinduzi kama alivyokua jpm. Yaani sasa inabidi ccm ibadili jina kwa njia hii wanafuata hawawezi kuleta maendeleo kwa umma wa wananchi. Itabakia kushibisha mabwanyenye kujenga ubepari uchwara. Mawazo na mbinu za bashe zinatakiwa kiongozi mwadilifu na mwenye msimamo. Huwezi kutumia wezi na wabinafsi kuleta mabadiliko kwa umma wa wananchi.
 
Ule ni upigaji tuwe wakweli , mama yetu kopenzi sehemu ambayo inampa shida ni kudhibiti hela za serikali kuibiwa

Kwa aina ya viongozi tulio nao, Rais yeyote ambaye hana uwezo wa kudhibiti wizi wa pesa ya umma, hawezi kufanikiwa kwa loloye, na ni hasara kubwa kwa Taifa.

Siku moja naongea na mfanyabiashara mmoja mkubwa, akasema, 'sasa hivi hali imekuwa mbaya kupindukia. Siku zite kumekuwa na rushwa lakini siyo ya kiwango hiki. Sasa hivi, hawa Mawaziri akija kwako mfanyabiashara, akisema anataka kukusaidia, hela wanayotaja mara nyingi ni bilioni, na ikiwa chini sana haiwezi kuwa chini ya 100m".

Na huyo Bashe, hao wakandarasi marafiki zake wanaotamba, ndio wanaopewa hizo tenda kila mahali. Hiyo miradi ni wizi mkubwa wa ajabu!!
 
Bashe kaiba wazi na wala hana pressure ofisini.

Na watu wa karibu naye, wanasema ni kati ya mawaziri walio katibu sana na Rais. Kunapokuwa na Waziri ambaye ni dhahiri wizi mkubwa unafanyika kwenye wizara yake, halafu waziri huyo anakuwa mtu wa karibu wa Rais, inatoa picha gani?
 
Back
Top Bottom