Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne.
Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show man yupo mmoja tu

Yeye pekee anataka kusikizwa nakusifiwa

Ole wake yyeyote ajitokeze balaa......mambosasa anapagawa
 
Mmoja nadhani atakuwa ameweka juhudi kwenye kuwapa madini vijana wetu pale UDSM baada ya nyota yake na vyombo vya habari kufifia kwenye awamu hii na mwingine atakuwa Sikonge anarina asali
Mkumba ni DC Geita, Bana kama ulivyosema anaendelea na kazi yake.
 
Back
Top Bottom