Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda...
3 Reactions
2 Replies
222 Views
Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
0 Reactions
8 Replies
107 Views
  • Featured
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu...
13 Reactions
230 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni...
15 Reactions
86 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika...
0 Reactions
4 Replies
227 Views
Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Akikataa bilioni 2 basi tafuteni kamgodi au kakitalu mpeni anyamaze. Ila kumjibu kwa hoja ni ngumu sana Watangazaji wameulizwa kimoja ambacho CCM wameweza wameshindwa
2 Reactions
3 Replies
222 Views
Mabalozi wa wote walitambulishwa vizuri tu ila ilipofika zamu ya Balozi wa Iran shangwe zikaongezeka Bungeni hii inamaana gani kidiplomasia? Connect dots za ziara ya Russia ya Mama means sasa...
10 Reactions
15 Replies
337 Views
BARA hii imekaaje kwa sisi waislam?
0 Reactions
6 Replies
178 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma onyo kali kwa waliokuwa wanachama wao, Saidi Issa Mohamed na Ahmed Rashid, kikitaka wajiandae kukilipa chama hicho mamilioni ya fedha kama...
2 Reactions
11 Replies
609 Views
Salaamu kwako Lissu&waTanzania kwa ujumla. Ninao ushauri mdogo kwako ndugu A.T.Lissu. Ninajua,unaijua Tanzania, Na unawajua watanzania walivyo. Mosi. Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi...
12 Reactions
73 Replies
1K Views
Nadhani utakubaliana na mimi kwamba bila fujo, ghasia na uropokaji hakuna kikundi kinachoitwa Chadema humu nchini. Na sote ni mashahidi kwamba matusi, chuki, uropokaji, mihemko nonsense na kufanya...
-1 Reactions
0 Replies
76 Views
Hii serikali Kila kukicha inawaza tu namna ya kuikomoa CHADEMA. Sasa Chadema nao ni Wajànja kuwapiku wote walioko serikalini. Matamko Yao Free Tundu Lissu na Kàtiba mpya ni Sasa ni pasua kichwa...
15 Reactions
33 Replies
773 Views
Na. M. M. Mwanakijiji SIYO jukumu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake ili vijirekebishe na hatimaye viweze kutekeleza majukumu yao...
29 Reactions
106 Replies
10K Views
Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu...
12 Reactions
3 Replies
377 Views
Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18...
1 Reactions
0 Replies
116 Views
  • Redirect
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kumshawishi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili mapumziko ya Mwaka Mpya...
0 Reactions
Replies
Views
Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema: “Msilete...
3 Reactions
3 Replies
141 Views
YAH: OMBI LA KUHARAKISHA UHAMISHO WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, MAJIJI NA MANISPAA BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2025 Mheshimiwa Rais, Kwanza kabisa, tunakupa pongezi kwa juhudi zako kubwa za...
1 Reactions
10 Replies
283 Views
Back
Top Bottom