Maslahi yapi? Akitaka maslahi si angeshaenda CCM muda huu angekua waziri wa sheria au mwanasheria mkuu wa serikali angekua anakula maisha tu.Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.
Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.
Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
Uvccm na machawa mpaka mnye mavi, Lissu shikilia hapohapo nguruwe wanatoa milio kwenye makorido ya Lumumba.Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu yangu Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hawatambui
kama unawapigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,starehe,kupiga pesa&kujipambania wao na watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Watanganyika wapumbavu sasa hivi mkombozi wao eti tapeli Gwajima.
Aiseee Tanzania kuna watu wajinga sana.
Mtu kapiga pesa za CCM baada ya kuona Dili lake la u president limebumba leo kawa mpinzani wa Rais na Watanganyika wanamwona shujaa
Lissu ni agent wa CIA mchongo wake umesanuka acha aozee selo
Serikali ilifungia kabisa kanisa la tapeli?Watanganyika wapumbavu sasa hivi mkombozi wao eti tapeli Gwajima.
Aiseee Tanzania kuna watu wajinga sana.
Mtu kapiga pesa za CCM baada ya kuona Dili lake la u president limebumba leo kawa mpinzani wa Rais na Watanganyika wanamwona shujaa
Mbwa weweLissu ni agent wa CIA mchongo wake umesanuka acha aozee selo
Usiweke hitimisho kwa mwanadamu mwenye utashi, juzi tu tulikua tunasema hivi hivi kwa mbowe ! Lakini leo hii ndie mtu mbaya katika upinzani kuliko wote inavyo semekana.Mwanasiasa pekee anayeaminika nchi hii ni Lissu
Lissu ni aina ya watu wachache sana ambao dunia inaweza kuwapata ambao wapo tayari kuteswa, kuumizwa au kuuawa ilimradi tu wanasimama katika kusudi na imani waliyojiwekea, kiufupi watu wa haina hii hawayumbishwi na chochote wanaishi kwa principles zao na hawawezi kukubali kuwa mbwa au mtumwa wa mtu fulani, wanasiasa kaliba ya Lissu ni nadra sana kuwapata
Ushawishi unaendelea je mtafanikiwa?Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.
Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
Fala kweli wewe! Lisu shikilia hapo hapo wewe upo zako kwenye keyboard na baadae urudi zako kumpa mkundu mumeo mnalala mmekumbatiana kwa raha zenu halafu unamchocheq mwenzako ambaye mwaka sasa yupo jela,Uvccm na machawa mpaka mnye mavi, Lissu shikilia hapohapo nguruwe wanatoa milio kwenye makorido ya Lumumba.
Wewe ndio unaonesha ubinafsi kwa ushauri wako huu. Yeye Lissu ameamua kujitoa kwa ajili ya watanzania wewe huku unaumia na kumkatisha tamaa?Salaamu kwako Lissu&waTanzania
kwa ujumla.
Ninao ushauri mdogo kwako
ndugu A.T.Lissu.
Ninajua,unaijua Tanzania,
Na unawajua watanzania walivyo.
Mosi.
Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi.
(Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani)
Pili
Unaowapigania,hajui unachokipigania.
Hivyo,unajitesa bure&kutesa familia yako.
Wenzako wanawaza ngono,pombe,wanawake,
starehe,kupiga pesa&kupambania watoto wao.
Hicho unachokipigania inawezekana ni maslahi yako,siyo yao.
Tatu
Hii ndiyo Tanzania ambayo watanzania wanaitaka.
Kama ni ubaya,wanafanyiana
wao kwa wao,wanaibiana wao
kwa wao n.k.
Ni furaha ya mtu kuona wengine wakitaabika.
Furaha ya tajiri,ni kuwepo
kwa maskini,furaha ya shibe ni awepo mwenye njaa.
Ukibisha,waulize wenye njaa,wamekuwaje walipopata chakula,vyeo n.k.
Hii ndiyo TZ wanayoitaka wenyewe.
Nne
Umekuwa gerezani,muda sasa.
WaTZ wameishia kubweka&kuufyata mkia.
Bado una Imani nao?
Tano
Uzalendo huanzia nyumbani
Kuwa mzalendo na familia yako,mke na watoto wako.
Patana na serikali,nenda zako ulaya kaishi na familia yako.
Saidia na ndugu zako.
Wewe siyo Mungu,waTZ waachie Mungu aliyewaumba.
Kama kweli wanateseka,
yeye ataona cha kufanya.
Ni ushauri tu.
Kwa akili ya kawaida tu mtu anayetetea tumbo lake angeweza kukataa ofa za serikali hadi kipindi hiki?Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.
Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi