YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 722
- 1,202
BARA hii imekaaje kwa sisi waislam?
Wakati tanganyika wametawala wakiristo wazungu wajerumani na warenoNchi ya kiislam ile tukubali tukatae history iko wazi..zanzibar ilishakuwa makao ya utawala wa sultan wa Oman kuna nini tena
BARA hii imekaaje kwa sisi waislam?
Mwaka mpya kwa waislamKwanini kuna mapumziko