Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,122
Reaction score
17,400
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es Salaam.

Soma: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

Chalamila amewahimiza viongozi hao kuhusu umuhimu wa kulinda amani katika mitaa yao, kudumisha usafi wa mazingira, matapeli wanaosababisha migogoro ya ardhi na mipango miji.

Mimi nitamuhudumia Chizi Maarifa na chura wenzio watatu usihofu mkuu wa mkoa hawa wanawake wameumbwa kwaajir yetu hivo hatuna budi kuwahudumia
 
Huyu mzee mpumbavu Sana Kwamba masaki ya Sasa hii iliyojaa nyumba za kizamani nayo ni ya kutishia watu? Matajiri sasahvi wapo kila sehemu

Mwambie aache ushamba aje morogoro kilombero uku watu wanauza Mchele milion 500 per day.

Watu wasiotembea wajinga Sana
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es Salaam.

Soma: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

Chalamila amewahimiza viongozi hao kuhusu umuhimu wa kulinda amani katika mitaa yao, kudumisha usafi wa mazingira, matapeli wanaosababisha migogoro ya ardhi na mipango miji.

Mkuu wa mkoa anaeleza umuhimu wa mipango miji kwa watendaji wa mitaa?! Kwanza hakuna sera ya mipango miji inayotekelezwa nchini. Pili hao watendaji wa mitaa sio wapanga miji, ni taasisi maalumu ya serikali ilipaswa kushughulika na jambo hilo. Chalamila alipaswa kuiambia serikali kuhusu tatizo la mipango miji na sio kuwarushia mpira watendaji wa mitaa.
 
Back
Top Bottom