Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18...
1 Reactions
0 Replies
116 Views
  • Redirect
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kumshawishi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili mapumziko ya Mwaka Mpya...
0 Reactions
Replies
Views
Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema: “Msilete...
3 Reactions
3 Replies
141 Views
YAH: OMBI LA KUHARAKISHA UHAMISHO WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, MAJIJI NA MANISPAA BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2025 Mheshimiwa Rais, Kwanza kabisa, tunakupa pongezi kwa juhudi zako kubwa za...
1 Reactions
10 Replies
283 Views
Yapo mambo tunaweza bishana kuwa ama tumefanya vizuri ama tumefanya vibaya; lakini kwenye swala la demokrasia hata anayejifanya kutetea kuwa tunafanya vizuri, ukimwangalia usoni atakwepesha macho...
3 Reactions
6 Replies
162 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili Utangulizi, Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Kila uchao anaibua tuhuma mpya dhidi ya Chadema. Msimnyamazie mpelekeni mahakamani (najua hakuna mahakama, lakini kuna some few Judges wanaweza kuliona hili wakalifanyia kazi). Mpelekeni...
9 Reactions
34 Replies
466 Views
  • Redirect
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026 itakuwa siku ya mapumziko kwa Zanzibar ili kuukaribisha Mwaka Mpya wa...
0 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo...
4 Reactions
7 Replies
340 Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea nchini kuhusu Utanganyika na Uzanzibar kiasi kwamba sasa mijadala hiyo imeingia kwenye Muungano wenyewe! Madai ya mwanzo kabisa ilikuwa kutaka...
5 Reactions
28 Replies
603 Views
Monster mother of Bangladesh Historia ya kiongozi wa taifa la Bangladesh, waziri Mkuu Sheikh Hasina ni jambo lenye kufikirisha sana. Alipoingia madarakani, Hasia aliona na wengi kuwa mtu ambae...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CHADEMA ZANZIBAR KILICHOFANYKA PEMBA TAREHE 07 JUNI 2026. Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar ilifanya kikao chake cha kawaida tarehe 07 Juni 2026, Kisiwani...
2 Reactions
4 Replies
199 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amedai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Jonathan Lema, anavuta malipo ya shilingi milioni 15...
2 Reactions
42 Replies
665 Views
Kauli hiyo inahusu umaarufu wa vyama viwili vya kisiasa Tanzania: CCM na CHADEMA. Kile kinachojulikana kwa mujibu wa taarifa rasmi na matokeo ya uchaguzi: 1. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tangu...
2 Reactions
24 Replies
405 Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.
1 Reactions
11 Replies
696 Views
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima...
8 Reactions
10 Replies
189 Views
Usiku wa jana Jumapili, nchi zote 2, Marekani na Iran zimetangaza kuwa zimefikia makubaliano ya kukomesha vita, na kwamba Ijumaa zitasaini MoU, nchini Switzerland. Memorandom hiyo inasema kuwa...
2 Reactions
11 Replies
208 Views
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo. Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye...
21 Reactions
107 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)akijibu maswali bungeni leo Juni 15, 2026, amesema Serikali inafanya tathmini ili kuona kama mtu mmoja...
1 Reactions
0 Replies
175 Views
Back
Top Bottom