Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi. Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma. Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA...
7 Reactions
19 Replies
947 Views
Mateso ambayo Hawa wahuni wametupatia Kwa miaka hii Minne, hamna wa kuyafuta, hamna Cha maridhiano Wala blaa blaa za aina hiyo !!. Hawa wahuni wanajua kabisa kua Wakiachia Nchi hii Tutawafunga...
8 Reactions
17 Replies
516 Views
Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
7 Reactions
49 Replies
586 Views
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania. JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made...
93 Reactions
203 Replies
12K Views
Salamu wakuu! Niende kwenye mada:nimekuwa nikiwafatilia wale wanaojiita viongozi wa CHADEMA kutoka Kanda mbali mbali ambao wamejitokeza kumshambulia direct makamu wa CHADEMA John Heche kwa tuhuma...
9 Reactions
34 Replies
768 Views
My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka...
2 Reactions
1 Replies
139 Views
Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn...
15 Reactions
31 Replies
2K Views
Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni...
23 Reactions
44 Replies
2K Views
Fikiria unakua na Bunge ambalo Wabunge wake wanakaa kuwaza namna ya kumdhibiti TUNDU LISSU!! Au Bunge linatunga Sheria Kumlinda Kiongozi fulan wa Chama chake Maajabu yanaenda mpaka Mahakaman...
3 Reactions
8 Replies
446 Views
Fikiria Familia za Akina Soka ,Mdude , Sativa Fikiria Familia za Mzee Kibao alouliwa na kutobolewa macho Fikiria Mgombea Uenyekiti CHADEMA alipigwa Risasi na Kufa papopapo mbele ya familia ake...
5 Reactions
14 Replies
681 Views
Inafahamika mapambano yetu sio ya silaha. Tunawaomba Polisi watuache tuendelee kupambana. Njia zetu za mapambano ni zilezile. -Maandamano bila Kikomo. -Mikutano ya hadhara bila kuzuiwa...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na...
20 Reactions
42 Replies
580 Views
Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote. Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa...
5 Reactions
15 Replies
723 Views
Ni kweli kuwa mateso na dhuluma kwa Watanzania, chanzo chake ni watawala wa CCM. Ila tukiwa wakweli wa nafsi, hata ndani ya CCM kuna watu hawapendi dhuluma. Mtu kama Warioba, kwa dhahiri kabisa...
1 Reactions
9 Replies
132 Views
Karibu namaliza mwaka 1 nikiwa Mwalimu wa Chuo Kikuu. Kimsingi, kila Askofu ni Mwalimu lakini si kila Mwalimu ni Askofu. Kwa bahati mbaya nina vyote! Tangu Septemba 2025 nafundisha somo la...
8 Reactions
6 Replies
254 Views
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili...
0 Reactions
19 Replies
205 Views
Viongozi wetu wa dini, kemeeni wananchi wanapoonewa na serikali inapofanya vibaya. Hususan huu kamata-kamata unaoendelea sio wa kisheria. Ni wa kinyanyasaji na ni mbaya sana kwenye taifa. Kwa...
4 Reactions
6 Replies
120 Views
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi...
5 Reactions
5 Replies
167 Views
Kwasababu sote ni mashahidi, kwamba mikakati hii ya CHAUMMA inaweza kuwaduwaza na kushangaza wengi kwenye kiwango cha makusanyo yao kwenye mikakati yake ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu...
2 Reactions
81 Replies
711 Views
Chama cha Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimesema mmoja wa wanachama wake, mhadhiri Melkisedeki Kitunzi Kaijage, alikamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia...
8 Reactions
8 Replies
606 Views
Back
Top Bottom