Kauli hiyo inahusu umaarufu wa vyama viwili vya kisiasa Tanzania: CCM na CHADEMA.
Kile kinachojulikana kwa mujibu wa taarifa rasmi na matokeo ya uchaguzi:
1. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
Tangu...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima...
Usiku wa jana Jumapili, nchi zote 2, Marekani na Iran zimetangaza kuwa zimefikia makubaliano ya kukomesha vita, na kwamba Ijumaa zitasaini MoU, nchini Switzerland.
Memorandom hiyo inasema kuwa...
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)akijibu maswali bungeni leo Juni 15, 2026, amesema Serikali inafanya tathmini ili kuona kama mtu mmoja...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
Hii mbinu imeshapitwa na wakati, wahusika katika Dawati husika wajaribu kuumiza vichwa Kuja na mbinu zingine lakini siyo hizi mbanga.
Pale panapokuwa na mambo Makubwa ya kitaifa yanayohitaji...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ameitaka serikali kuifuta mara moja kesi inayowakabili wanafunzi 17 wa vyuo vikuu wanaotuhumiwa kughushi nyaraka ili...
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati...
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala
Tangu Chadema irudi...
Niko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa
Uislam dini ya haki
Hii ndiyo falsafa ya dini yetu uislam hsuruhusu...
Mpasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya kambi ya upinzani nchini Tanzania umezidi kushika kasi kufuatia mfululizo wa shutuma na majibu makali hadharani kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar, Ismail Jussa, amemkosoa vikali Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, kufuatia kauli zake...
Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo...
Wazanzibari hawana tofauti yo yote na Waafrika Kusini wanao wafukuza waafrika wenzao kutoka nchi zingine. Wazanzibari ni makaburu tu. Wazanzibari ni wanafiki wakubwa wanakuchekea usoni mioyoni...
Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.