onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,417
- 1,393
Hii serikali Kila kukicha inawaza tu namna ya kuikomoa CHADEMA. Sasa Chadema nao ni Wajànja kuwapiku wote walioko serikalini. Matamko Yao Free Tundu Lissu na Kàtiba mpya ni Sasa ni pasua kichwa serikalini.
Hivi ni kweli Kuna maandamano hiyo 7 7 au ni kumtia tu mtu hasara? Kule nje wamekaza kuhusu ICC na bado serikali haijakaa sawa maandamano ya 7 7.
Mimi wakati mwingine nawaza tu ni kwa nini hii serikali isikubali hivi vichwa vyenye madini makubwa kuingizwa serikalini wakaisaidia nchi! Ukianza na Lissu, Heche, Mnyika, Brenda, Mahinyila, Lema nabii na wengine wengi utaona Hawa ndio wanaipeleka nchi mchamchaka. Tamko la mmoja asubuhi utakuta wale jamaa wa saluti Kila Kona.
Ila ni kwa ñini wasiseme poo Líssu akakaa pale kati wengine wapokee utàratibu namna ya kuishi bila kudokoa hazina!!