Video: Balozi wa Iran akishangiliwa Dodoma Bungeni

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,610
Mabalozi wa wote walitambulishwa vizuri tu ila ilipofika zamu ya Balozi wa Iran shangwe zikaongezeka Bungeni hii inamaana gani kidiplomasia?

Connect dots za ziara ya Russia ya Mama means sasa hivi tumeamua kufungamana na dunia ya mashariki?

====

Shangwe zilitawala ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Spika kutangaza uwepo wa Uwakilishi wa Iran Tanzania katika kikao cha maendeleo na bajeti ya taifa cha mwaka 2026/27 mjini Dodoma.

Kwa miongo mingi, Tanzania na Iran zimeendelea kudumisha uhusiano wa karibu wa kidiplomasia, kiutamaduni na kijamii uliotawaliwa na kuheshimiana, ushirikiano wa maendeleo na urafiki wa dhati kati ya wananchi wa mataifa haya mawili.

Yani kushangiliwa na chawa wa mamaduro wasiojua lolote zaidi sifa na mapambio kuwe na maana yoyote kidiplomasia?

Utakuwa umepotea sana kama bado unalizingatia hili genge la walaji wa mali za umma, yani mtu kama salima jekee mimi na uzee huu nione ni mwakilishi wa watu mwenye akili kweli? Ntakua sijitendei haki sana
 
Wabunge wa CCM hawana wanalolijua!
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Kumshangilia Balozi wa Iran ni ujuha.Ikiwa Bungeni tumewapeleka Wabunge aina ya Baba Revo sijui Babu...unategemea nini !.
Wewe binafsi unakereka na nini, kwani ulitaka wamshangilie balozi wake nchi gani ili uridhike na kwa nini?
 
Mabalozi wa wote walitambulishwa vizuri tu ila ilipofika zamu ya Balozi wa Iran shangwe zikaongezeka Bungeni hii inamaana gani kidiplomasia?

Connect dots za ziara ya Russia ya Mama means sasa hivi tumeamua kufungamana na dunia ya mashariki?

====

Shangwe zilitawala ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Spika kutangaza uwepo wa Uwakilishi wa Iran Tanzania katika kikao cha maendeleo na bajeti ya taifa cha mwaka 2026/27 mjini Dodoma.

Kwa miongo mingi, Tanzania na Iran zimeendelea kudumisha uhusiano wa karibu wa kidiplomasia, kiutamaduni na kijamii uliotawaliwa na kuheshimiana, ushirikiano wa maendeleo na urafiki wa dhati kati ya wananchi wa mataifa haya mawili.

Bungeni anashangiliwa na kupigiwa Makofi yoyote.

Uongee pointi utapigiwa makofi.
Usiongee pointi utapigiwa makofi na kushangiliwa
 
Yani kushangiliwa na chawa wa mamaduro wasiojua lolote zaidi sifa na mapambio kuwe na maana yoyote kidiplomasia?

Utakuwa umepotea sana kama bado unalizingatia hili genge la walaji wa mali za umma, yani mtu kama salima jekee mimi na uzee huu nione ni mwakilishi wa watu mwenye akili kweli? Ntakua sijitendei haki sana
Huwezi kuzuia hisia za watu dhidi ya ubeberu na uonevu wa dhahir shahir.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom