Maalim Seif amsifu Balozi Karume kuhusu hatima ya Zanzibar
Na Mkinga Mkinga
SIKU chache baada ya Balozi wa Tanzania nchini Italia, Ali Karume, kutangaza azma yake ya kutaka kugombea urais wa...
Habari za kawaida
Posted Date::2/2/2008
Shule zenye majina ya viongozi hoi mtihani kidato cha nne
Na Joyce Mmasi
SHULE za sekondari zenye majina ya viongozi, zimeonekana kufanya vibaya...
Tanzania... my beloved motherland.. How I long for you! I weep for you. To see your demise saddens me, enrages others and leads to many outcomes. Everytime I log onto JF the word I am most likely...
Mzimu wa ufisadi wawafuata makandarasi
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima
SAKATA la ufisadi katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), linaonekana kuibua tuhuma nyingine kadhaa baada ya waliokuwa...
Mie naona kwa jinsi hali ilivyo na ambavyo watawala wetu wanavyolindana.
Hakika kwa njia ya Ballot mafisadi wa tz kamwe hawataondoka badala yake watarithishana uongozi leo baba,kesho mwana...
Tunasubiri kuona utekelezaji wa hiliJK: Fedha zote zilizoibwa BoT zitarejeshwa
2008-02-01 08:50:57
Na Joseph Mwendapole
Rais Jakaya Kikwete, amewahakikishia Watanzania kuwa, fedha zote...
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kuchaguliwa kuongoza Umoja wa Afrika (AU) katika kipindi cha mwaka mmoja.
Pongezi hizo alizitoa juzi usiku...
EASY FRIDAY: No big fish wants Ballali back
SIMONI MKINA
DAR ES SALAAM
THE Tanzanian skies are filled with cries. Adams sons and daughters are crying every minute because they are...
Nilikuwa napitia kwenye website ya UDSM na nimejikuta nakumbana na butwaa kubwa pale nilipokutana na tangazo la watawala kuwa wanafunzi wote wanapaswa kujilipia sh.laki moja kila mwaka kwa ajili...
Ana nia kweli ya kulifanya hili au ni usanii mwingine? Karamagi, Mkono na mawaziri na wabunge wengine wengi wa CCM mpo?
Posted Date::1/31/2008
Wabunge, mawaziri Tanzania kuchagua uongozi au...
Bi Anna Makinda yuko hwani anasoma kanuni mpya ya kumweka Waziri mkuu kitomoto lakini naona wanajenga hoja ya kumlinda ipasavyo. Wanasema maswali binafsi hayatakiwi ,maswali ya kusikia hayatakiwi...
WATATAJANA TU MSIMU HUU
Mafisadi, sasa waanza kuumbuana
SOURCE: ALASIRI
2008-01-31 15:37:37
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Kama Waswahili wasemavyo kwamba Waarabu wa Pemba hujuana kwa...
...Ama kweli ukistaajabu ya hayawani utaona ya taahira! sijui anataka kumdanganya nani huyu? bora apelekwe Mirembe
Posted Date::1/30/2008
CCM yadai hoja ya ufisadi Benki Kuu Tanzania ni yao...
Posted Date::1/31/2008
Tanzania yapokea toka Ghana uenyekiti mpya Umoja wa Afrika
Na Dennis Msacky, Addis Ababa, Ethiopia
Mwananchi
RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana jioni...
Mil. 142.9/- zatumika kutangaza bajeti
MBUNGE VITI MAALUM
na Irene Mark, Dodoma
SERIKALI ilitumia jumla ya sh milioni 142.96 kugharamia safari za mawaziri na wasaidizi wao mwaka...
kwa masikitiko na majonzi makubwa naleta mbele zenu yangu machache kuhusu hili kampuni la umeme Tz.
kuna dhana ya customer care ,yaani kwa kifupi huduma bora kwa mteja.lakini wenzetu Tanesco...
WABUNGE kadhaa wameonyesha wasiwasi wao kuhusu utaratibu wa kutenganisha shughuli za uendeshaji mashitaka na kazi ya upelelezi wa kesi. Wamebainisha kuwa ingawa utaratibu huo ni mzuri, lakini...
Amini usiamini, endapo Kikwete ataendelea kuwakumbatia mafisadi wenzake, muda si mrefu familia za mafisadi zitakuwa zikitekwa nyara - Niger Delta style.Kurejesha nidhamu ya matumizi ya mali za...
..Wanalinda maslahi ya nchi kwa kufanya hivi!? :confused:
Vigogo wawatisha mashahidi kashfa BoT
Mwandishi Wetu Januari 30, 2008
Raia Mwema
Lengo ni kumwokoa mhusika mkuu
WAKUU wa...