Familia za Mafisadi Zitekwe Nyara

Status
Not open for further replies.

kinetiq01

Member
Aug 25, 2006
49
0
Amini usiamini, endapo Kikwete ataendelea kuwakumbatia mafisadi wenzake, muda si mrefu familia za mafisadi zitakuwa zikitekwa nyara - Niger Delta style.Kurejesha nidhamu ya matumizi ya mali za umma na utawala bora.

Familia za hawa mafisadi zinaishi maisha ya kukufuru kwa fedha ambazo zilitakiwa kugharamia huduma muhimu kwa wananchi wa kipato cha chini [au wasiokuwa na kipato kabisa - usibishe wako wengi].

Tutakachofanya ni kuhakikisha kwamba kama wanataka kufaidi, basi wajifiche, wasipate raha mitaani na kutubeza sisi masikini.Ushahidi upo kwamba wameiba, lakini rais wetu mwoga anawaficha kwenye kwapa zake.Huwezi kuamini, katika utawala wake wa miaka miwili eti kamtimua Balali peke yake, tena Balali aliamua kuanza mwenyewe hakufuzwa yule.

Watu tunalaumu mawaziri na maafisa wa serikali, lakini tunasahau kwamba Kikwete ndiye kiongozi wa wote.Yeye ndiye anatakiwa kubeba lawama kwa nchi inavyokwenda mrama, isije kuwa eti mawaziri wanamwangusha,kwani yeye kalala usingizi?Fukuza mafisadi wote, Tanzania ina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza, unaweka vibabu kama Basil Mramba, ameongeza value gani katika cabinet ya Kikwete huyu mtu?Rubbish.....

Hebu piga picha hii, mtoto wa kike wa waziri fulani ametoweka tangu jana jioni alipoenda kwenye harusi ya rafiki yake, kundi moja la kupigania maslahi ya walala hoi limedai kuhusika kwa maelezo ni adhabu kwa waziri huyo anayedaiwa kujilimbikizia mabilioni ya shilingi ambazo ni mali ya umma.

Vyombo vinavyoitwa vya sheria vimekuwa kituko, vyombo vya dola ni vya kuilinda CCM na mafisadi wake.Dawa hapa ni sisi wenyewe kuunda sheria zetu kwa manufaa ya taifa.

Nadhani hapo Kikwete ndiyo akili itamkaa vizuri, lakini kwasasa anaharibu nchi nzuri Tanzania.Tunasema, tutawateka watoto, wake na waume wa mafisadi.Hiyo itawafanya akili zenu zikae vizuri na kubaini kuwa dunia siyo yenu mkatusahau tuliowapigia kura.

Najua Kikwete na wale wote wanaoshabikia CHAMA CHA MAFISADI[CCM], watakuwa wanasoma huu waraka kwa dharau na kejeli, kama kawaida yao.Lakini kumbukeni kwamba global warming is real.
 
Pamoja Na Kutekwa Nyara, Nyumba Zao Zoooooote Zichomwe Moto. Maana Hakuna Sheria Nchini Kwetu, Hivyo Sheria Inaingia Mokononi Mwa Wananchi Wenyewe.
 
Sidhani kama Watanzania wana ujanja wa kumteka nyara mwanafamilia yeyote wa MAFISADI. Watanzania ni waoga kupita kiasi kuweza kufanya kitu kama hicho, Mwanakijiji alisema wabongo wamepigwa ganzi lakini mimi nasema wabongo wamechomwa sindano ya usingizi. Nadhani watanzania wengi wameshakubali destiny yao ni maisha duni, Umasikini na utawala mbovu. Wewe hushangai pamoja na uchafu wote huu kuhusu ufisadi watanzania wako kimya kama wamewekwa mitungini, huwasikii kulalamika pamoja na ugumu wa maisha kuongezeka maradufu.
 
Pamoja Na Kutekwa Nyara, Nyumba Zao Zoooooote Zichomwe Moto. Maana Hakuna Sheria Nchini Kwetu, Hivyo Sheria Inaingia Mokononi Mwa Wananchi Wenyewe.

NDOTO ZINARUHUSIWA MARA MOJA MOJA .ENDELEENI KUOTA HAKUNA ATAKAEKAMATWA NA WATOTO WENU WATAENDA MONDULI KUSOMEA UJESHI NA CCP KWA AJILI YA KUTULINDA SISI NA MALI ZETU
 
Amini usiamini, endapo Kikwete ataendelea kuwakumbatia mafisadi wenzake, muda si mrefu familia za mafisadi zitakuwa zikitekwa nyara - Niger Delta style.Kurejesha nidhamu ya matumizi ya mali za umma na utawala bora.

Familia za hawa mafisadi zinaishi maisha ya kukufuru kwa fedha ambazo zilitakiwa kugharamia huduma muhimu kwa wananchi wa kipato cha chini [au wasiokuwa na kipato kabisa - usibishe wako wengi].

Tutakachofanya ni kuhakikisha kwamba kama wanataka kufaidi, basi wajifiche, wasipate raha mitaani na kutubeza sisi masikini.Ushahidi upo kwamba wameiba, lakini rais wetu mwoga anawaficha kwenye kwapa zake.Huwezi kuamini, katika utawala wake wa miaka miwili eti kamtimua Balali peke yake, tena Balali aliamua kuanza mwenyewe hakufuzwa yule.

Watu tunalaumu mawaziri na maafisa wa serikali, lakini tunasahau kwamba Kikwete ndiye kiongozi wa wote.Yeye ndiye anatakiwa kubeba lawama kwa nchi inavyokwenda mrama, isije kuwa eti mawaziri wanamwangusha,kwani yeye kalala usingizi?Fukuza mafisadi wote, Tanzania ina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza, unaweka vibabu kama Basil Mramba, ameongeza value gani katika cabinet ya Kikwete huyu mtu?Rubbish.....

Hebu piga picha hii, mtoto wa kike wa waziri fulani ametoweka tangu jana jioni alipoenda kwenye harusi ya rafiki yake, kundi moja la kupigania maslahi ya walala hoi limedai kuhusika kwa maelezo ni adhabu kwa waziri huyo anayedaiwa kujilimbikizia mabilioni ya shilingi ambazo ni mali ya umma.

Vyombo vinavyoitwa vya sheria vimekuwa kituko, vyombo vya dola ni vya kuilinda CCM na mafisadi wake.Dawa hapa ni sisi wenyewe kuunda sheria zetu kwa manufaa ya taifa.

Nadhani hapo Kikwete ndiyo akili itamkaa vizuri, lakini kwasasa anaharibu nchi nzuri Tanzania.Tunasema, tutawateka watoto, wake na waume wa mafisadi.Hiyo itawafanya akili zenu zikae vizuri na kubaini kuwa dunia siyo yenu mkatusahau tuliowapigia kura.

Najua Kikwete na wale wote wanaoshabikia CHAMA CHA MAFISADI[CCM], watakuwa wanasoma huu waraka kwa dharau na kejeli, kama kawaida yao.Lakini kumbukeni kwamba global warming is real.

HIZI JAMANI NDOTO MAANA NAONA KAMA WATU TUMEKOSA SASA FIKRA JENZI. HAIWEZEKANI UITEKE FAMILIA KISA UFISADI HAIWEZEKANI HATA AHERA HAMNA KITU KAMA HICHI. LABDA USEME MHUSIKA AFILISIWE NA ASIMAMISHWE KWENYE MAHALA PA KISHERIA KUJIBUU TUHUMA KAMA USHAHIDI KAMILIFU UPO HAPO KIDOGO NAWEZA KUKUBALI LAKINI HIZI HOJA ZA HUMU JF KWA SASA NAONA KAMA WATU WATANAKA NAO KUWA NA FONTS ZA KIJANI NAFIKIRI MNANIELEWA. LETE VITU JENZI TUMEONA NA TUMESHUHUDI MAMBO MENGI YAMELETWA NDANI YA JF NA YAMETOKEA NA YAMEKUWA CHANGAMOTO KWA SERIKALI KWELI MPKA IMETIA AKILI. HAYO NDIO TUNAYOYATAKA.
 
Fikra jenzi haziwezi kuwepo pale binadamu anapokosa tumaini lolote katika mambo mbalimbali iwe kijamii, kisiasa, kiafya au kiuchumi. Mtu hawezi kuwa na fikra jenzi huku hawa Majambazi wa CCM wanazidi kuibaka nchi usiku na mchana na hakuna mtu ambaye anawauliza lolote au kuwachukulia hatua zozote.

Fikra jenzi haziwezi kuwepo pale ambapo kundi la wachache katika nchi yenye watu milioni 38 wanahodhi mali nyingi walizozipata na wanaendelea kuzipata kwa njia ya ubadhirifu wa mali za umma.

Fikra jenzi haziwezi kuwepo pale ambapo Kiongozi mkuu wa nchi anaamua kwa maslahi yake binafsi kupuuzia ubadhirifu wote unaoendelea kufanyika katika raslimali za nchi yake ili mradi tu awafurahishe marafiki zake na nafsi yake.

Fikra jenzi haziwezi kuwepo pale ambapo mafisadi ambao wanajitajirisha kila siku kwa kutumia migongo ya mamilioni ya watanzania na huku hao mafisadi wakizunguka nchini bila ya wasiwasi wakiwa wametunisha vitambi vinavyokaribia kutoboa mashati yao ilihali mamilioni ya wananchi wenzao wanaishi kwenye umaskini mkubwa unaoambatana na magonjwa mbalimbali yanayowakabili kutokana na kusekana kwa huduma mbalimbali za kiafya.

Nadhani kwa muda huo huyo binadamu hatokuwa tena na fikra jenzi bali ni fikra jonzi iliyochanganyika na hasira, manung'uniko, uchungu, ukali,fujo, ghadhabu na hata wakati mwingine ukatili.
 
HIZI JAMANI NDOTO MAANA NAONA KAMA WATU TUMEKOSA SASA FIKRA JENZI. HAIWEZEKANI UITEKE FAMILIA KISA UFISADI HAIWEZEKANI HATA AHERA HAMNA KITU KAMA HICHI. LABDA USEME MHUSIKA AFILISIWE NA ASIMAMISHWE KWENYE MAHALA PA KISHERIA KUJIBUU TUHUMA KAMA USHAHIDI KAMILIFU UPO HAPO KIDOGO NAWEZA KUKUBALI LAKINI HIZI HOJA ZA HUMU JF KWA SASA NAONA KAMA WATU WATANAKA NAO KUWA NA FONTS ZA KIJANI NAFIKIRI MNANIELEWA. LETE VITU JENZI TUMEONA NA TUMESHUHUDI MAMBO MENGI YAMELETWA NDANI YA JF NA YAMETOKEA NA YAMEKUWA CHANGAMOTO KWA SERIKALI KWELI MPKA IMETIA AKILI. HAYO NDIO TUNAYOYATAKA.
Hivi wewe KuntaKinte bado una matumaini ya vyombo vya kisheria kwamba vitafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?Ukweli kwamba hawa mafisadi wana fedha ya mchezo, wanachofanya ni kununua sheria kwa bei rahisi kwasababu idadi kubwa ya watanzania wana njaa - WANANUNULIKA.

Kama una ndoto ya kutendewa haki, nakwambia unapoteza muda wako.Hawa jamaa hawana nia ya kuachia madaraka wala kuruhusu haki itendeke.Ni nguvu tu ndiyo itawadhibiti shauku yao ya kuhodi mali na madaraka.

Angalia wanavyotuchezea mchezo wa kuigiza, wewe unataka kuniambia hizo fedha zingekuwa ni za CCM zikaibiwa si wangeshafukuzana wenyewe kwa wenyewe, lakini kwa kuwa wanayemwibia kalala usingizi, hakuna maneneno.
 
Mna maana ya kuwa familia za mafisadi nao ni guilty by association? Nadhani kwa kufanya hivyo tutakuwa tumejirudisha nyuma miaka 60. Ingawa wanafamilia wanafaidi matunda ya ufisadi wa parents/spouses wao, lakini ukweli ni kwamba wao binafsi hawana hatia ingawa wanaweza kuingia hatiani wakitakiwa kutoa ushahidi halafu wakaamua kudangsnya.
 
Badala ya kuchoma moto mali na majumba yao si bora mtaifishe kama alivyofanya mwalimu wakafaidika wengi au ndio hasira?
 
Badala ya kuchoma moto mali na majumba yao si bora mtaifishe kama alivyofanya mwalimu wakafaidika wengi au ndio hasira?
HAYA NI MAWAZO YA KIDIKTETA NA KINYAMA IMAGINE UMEMTEKA MDOGO WANGU WA MIAKA MITATU JAPO ANASOMA GENESIS LAKINI ANAJUA NINI JUU YA UFISADI?
 
Geeque mimi siko mbali na wewe, I mean sisapoti kutekwa nyara kwa mafisadi na family zao. Mbali ya kuwa ni kitendo kibaya lakini pia hakiwezi kufanywa na watz hawa ninaowajuwa mimi, unless kuna breed ya waztnigeria.

Lakini umesema kuwa MAFISADI wafilisiwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Napata tabu hapo kidogo, HIVI NI NANI HUYO WA KUCHUKUWA HIZO HATUA ZA KUFILISI NA KUWAFIKISHA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA HAO MAFISADI? NI SERIKALI HII YA KIKWETE AMA TUNAYO NYINGINE? Kama ni serikali hi ya Kikwete we should never ever expect that. Angekuwa na nia hiyo angeanza kwenye hili la EPA. Ni rais gani anayeogopa kuchukua hatua kwa kutumia audit report aliyoiamuru yy mwenyewe though kwa kushinikizwa. Huu upuuzi wa kuunda tume ya uchunguzi na kuipa miezi sita wakati watuhumiwa wanajulikana anamfanyia nani? Ninaloliona hapa ni kwamba baada ya miezi 6 watuhumiwa wote watasafishwa na hakuna hata senti 5itakayorudishwa.

CHALLENGE KWETU NI KWAMBA TUFANYE NINI ILI KUIAMUSHA TOKA KWENYE USINGIZI TOTORO HII SERIKALI YA KISHKAJI YA JK AMBAYO IMESAHAU COMPLETELY KWAMBA NI WANANCHI WALIOICHAGUA HIVYO INAPASWA KULINDA MASLAHI YAO NA SI VINGINEVYO? WHAT SHOULD BE DONE JAMANI MAANA HUU USANII NIA AIBU TUPU.
 
Watanzania Ni Kweli Waoga, Lakini Siku Huo Uoga Utakapokwisha, Basi Moto Utawaka Na Ndipo Watu Wataelewa. "mtu Mpole Siku Mambo Yanapomzidia Uamuzi Wake Dunia Nzima Itapata Habari"
Hakuna Serikali Inayoweza Kutaifisha Mali Za Hao Mafisadi, Kama Wakati Ilivyokuwa Enzi Ya Nyerere. Rushwa Sasa Hivi Iko Kwenye Damu Ya Wananchi Na Kuitoa Itachukua Muda Mrefu Sana, Na Wakati Tunasubiria Huo Muda Wananchi Wa Hali Ya Chini Wanaumia.

Mgongano Wa Matabaka Wenye Nazo Na Wasio Nazo. South Africa Makaburu Na Wananchi Walio Wengi Ambao Ni Wasouth Afrika, Matokeo Yake Umwagaji Wa Damu Katika Kutafuta Demokrasia.

Tunaelekea Huko
 
Kuteka watoto wa vigogo can be the only solution at this time. To attain fast changes( revolution) we need to do all that is within our uwezo to attain our goals.Kuchoma nyumba na magari yao inaweza kuwaamsha kuwa nchi ina wenyewe na siyo wao tuu. Tumekata tamaa na ujinga wa CHAMA CHA MAFISADI.Wanatuona watz. kuwa mbumbumbu sana.Tuingieni mitaani kama Kenya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom