Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kama Mawaziri wakatiwa maji..Mbona Dr I.Rashid alipotaka kiwanda kikatiwe umeme ikawa mzozo?naomba ufafanuzi tafandhali...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Dar current account deficit hits $1.9bn By JOSEPH MWAMUNYANGE THE EAST AFRICAN As Tanzania tries to establish who exactly was involved in the theft of $133 million from the country’s...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dar leases Kigoma lake port By MOHAMED ISSA MOHAMED Special Correspondent THE EAST EAST AFRICAN The Tanzania government has leased the Kigoma port on Lake Tanganyika to a Burundian firm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yafuatayo ni mahojiano kati ya mhariri wa gazeti la Bongocelebrity na Dr. Slaa Jina la Dr.Willibrod Peter Slaa (pichani),Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Karatu, hivi sasa linaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge yaijia juu serikali kuhusu kampuni ya mizigo Andrew Msechu na Glory Kimathi KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeitaka serikali kusitisha mara moja mkataba na Kampuni inayosimamia...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari Wana JF
0 Reactions
1 Replies
2K Views
...Please let Tanzanians know what happened to those who were removed from EPA dept. Ndulu takes initial steps 2008-01-25 08:59:20 By Guardian Reporter The management of the Bank of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi naona hii ni common sense, inakuwa ni vigumu kwa polisi kuanza kumchunguza Waziri yeyote, hata kama sio Bongo. Na vigogo wengi nyumbani wandadhani kama unatuhumiwa jambo fulani na ukajiuzulu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Filamu ya watoto 'nyoka' wa Mererani yazinduliwa Marekani Na Harieth Makweta KUZINDULIWA kwa filamu mpya jijini New York Marekani hivi karibuni inayoonyesha watoto wa Kitanzania...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
... Huyu fisadi hakuna aliyemgusa kufuatia kashfa ya Rada, na yeye akatumia mwanya huo labda kwa kusaidiwa na mafisadi wenzie aliowakatia bulungutu akiwemo fisadi Mkapa kutoroka. Na si ajabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma hii hapa: Rais Kikwete atoa waraka wa mwisho kwa majamabazi * Atangaza operesheni mpya, aonya serikali isije ikalaumiwa Na Midraj Ibrahim, Muleba Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dira ya dunia BBC ya tarehe 23/Jan/2008 imetangaza kuwa bahadhi ya maeneo ya mikoa ya kusini yana upungufu wa chakula hasa mahindi. Kama kawaida wananchi wanachemsha mizizi ya porini. Akiojiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A POPULAR UK newspaper recently published an interesting article on the possible danger facing footsteps of the earliest man to walk upright on earth. The report said the ancient human tracks...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Usanii mwingine huu! Eti wanataka kuilazimisha Tanesco iombe leseni kwa kufanya hivyo waruhusu makampuni yao ya kifisadi nayo yazalishe, kusambaza na kuuza umeme. Hawa hawa mafisadi na sera zao za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Tausi Ally MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana nimeona M7 akishuka kwenye ndege ya rais wa TZ?? na akapokewa na Kibaki kwa furaha sana,hii ilinifanya kutafakari hapo nyuma M7 alipokuwa kiongozi wa kwanza kumtambua Kibaki bila woga wowote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hongereni kwa jitihada waja JF Nimetaka kuleta hii mada ya kauli potofu za viongozi waandamizi na jinsi walivyoudanganya Umma na hatimaye kuumbuliwa na ukweli. Ningeomba tuweke kauli...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Badala ya kuomba msaada watutengenezee Barabara sie tumeona bora tujengewe uwanja wa Taifa Hii ndiyo hali halisi ya barabara kuu ya KIGOMA,leo ni siku ya tatu kukiwa hakuna kutoka kuelekea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na ufunuo (usio kamili) wa ufisadi uliondelea huko Benki Kuu. Katika ufunuo huo, wananchi tulielezwa kuwa Rais amekasirishwa na ufisadi huu na akaamua mambo kadhaa, ikiwemo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Stock Markets Plunge Worldwide By TOBY ANDERSON – 8 hours ago LONDON (AP) — Stocks fell sharply worldwide Monday following declines on Wall Street last week amid investor pessimism over the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…