Hivi ni Vioja vya Serikali

BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
Wana JF
Ebu tueleweshane kidogo hapa, kuna huyu mtu anaitwa mkapa, wakati akiingia madarakani aliwambia viongozi wataje mali walizo nazo, na waeleze walizipata vipi, lakini yeye sasa hivi ana mijiradi kibao, na amepata hizo pesa akiwa ikulu.
Lakini kuwa ikulu si kupata pesa nyingi kiasi hicho jamani, sasa mimi nashindwa kuelewa wato wanapotoa namba za simu kutafuta Mafisadi, wakati kuna kila dalili kuwa Mkapa ni Fisadi namba moja, iweje yeye haulizwi kitu jamani???
Pili tunapeana namba za simu ili kutaja mafisadi, lakini serikali imeona, na ina uhakika kuwa Jitu Patel anausika moja kwa moja katika ufisadi wa BOT, kwanini hawamchukulii hatua yoyote jamani? au kwa sababu anamjengea Kikwete Nyumba, ndo maana wanamuacha??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom