Hain's Resignation- Mfano Bora kwa Wahusika wa skendo la BOT.

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
1,195
Mimi naona hii ni common sense, inakuwa ni vigumu kwa polisi kuanza kumchunguza Waziri yeyote, hata kama sio Bongo. Na vigogo wengi nyumbani wandadhani kama unatuhumiwa jambo fulani na ukajiuzulu ni kama vile umekubaliana na tuhuma hizo, hii si kweli bali ni kutoa nafasi ili kuwe na uhuru na wepesi wa uchunguzi kufanyika.

Hain quits jobs 'to clear name'

Peter Hain has quit the cabinet after his Labour deputy leadership campaign donations were referred to the police.

Mr Hain, work and pensions secretary and Wales secretary, said he had stood down so he could "clear my name".

He quit within minutes of the Electoral Commission saying that it had decided to refer the late declaration of £103,000 of donations to the police.

In a statement to reporters he said he regretted what had happened and felt he had "no alternative" but to resign.

Speaking outside the Department for Work and Pensions, Mr Hain said: "I severely and seriously regret the mistake in declaring the donations late."

Mr Hain, who has said suggestions that he tried to hide anything are "absurd", earlier wrote to Prime Minister Gordon Brown: "I made a mistake but it was an innocent mistake."


SOURCE:BBC.CO.UK
 

Morani75

JF-Expert Member
Mar 1, 2007
613
0
Duh kwa mtajo huo watabaki wachache sana mwanangu, what am I talikng about............hatabaki mtu......

Hivi just as a concern, haiwezekani kuondoa all top people and start with a new slate? Sababu kama madudu ndio hivyo yalivyo hao jamaa walifanya nini kuzuia yasitendeke?? Just a thought, though!!
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
He has only resigned (in the past tense) when Gordon Brown has formally accepted his resignation (notionally on behalf of the Monarch).
 

Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
Not in bongo... kama ingekuwa inawezekana, karama.. asingekuwa alipo pamoja na ma Buzwagi na ma TISC..
 

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,812
2,000
Sio kwa sheria tulizo nazo ambazo ni mbovu, wanajua mbovu, lakini wanazilinda kwasababu tu zinawalinda walio juu.

Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kabla hata ya kuanza kuota wanachofanya wenzetu wa Europe.
 

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,738
1,225
Haya mambo mengine ni mambo ya "honor" zaidi kuliko sheria, hususan kama tuhuma zina utata.Tatitzo kwetu mijitu haina aibu, itasemwa weee kila siku lakini bado inadunda tu.

Inabidi sisi ndiyo tuweke sheria za kuwabana, ngumu sana hii.
 

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
1,195
So? does this justify our failure to take responsibility?
There,s absolutely no justification for this. Why on earth our democracy hasnt grown after 36 years of independence? I think its time to push people out if they arent prepared to jump, our ministers have got to start taking responsibily for their actions.
 

Morani75

JF-Expert Member
Mar 1, 2007
613
0
Pundit umesema kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu, professionally and socially........ "HONOR"

Hapo ndipo tunaposhindwa hata kwenye Bunge, mashirika, serikalini, makampuni..... nk, huko kote watu tumepoteza "HONOR" na ndio maana tunaona madudu yanatendeka na sisi badala ya kukemea tunayakumbatia sababu kuna mkate, ndugu, jamaa, mkubwa, nk ataathirika......

Long live JF!!!!
 

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
253
0
Kwa bongo n ngumu mno,kama kumbukumbu zangu ni nzuri,si zaidi ya vigogo 5 wamewahi kujiudhuru baada ya ofisi zao kukumbwa na kashifa. Balali tu juzijuzi katamka bungeni hawezi kjiuzulu kwa kuwa yeye ni msafi,baada ya kuumbuka,leo yako wapi. Hii naomba imfkie Mramba na Meghji moja kwak moja.
 

mamueric

Member
Sep 24, 2007
8
0
My dear friends this can not happen in any African Government.African Leaders do dream on how to temper with their Constitutions in order to to become life Presidents. See Uganda,Zimbabwe and i do not hesitate to say that even this sickness was nearly to happen here in the past regime had it not be the peoples' voices that came to rescue the Nation.Some few CCM Leaders started to circulate rumors that they would like to see that the Country's Constitution was bent to extend the presidency period from ten years to fifteen which i hope had it passed then it could then be extended to twenty , thirty and the.....GOD BE WITH US.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom