Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UKOMUNISTI AU UJAMAA ulipokuwa ukikata roho televisheni za dunia nzima zilikuwa zikishangilia lakini hii leo UBEPARI umo katika sakra-mauti na wanafiki wote wanaupamba kwa urongo wa kila aina huku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
EYE SPY: Here comes another 'Richmond'? Adam Lusekelo THIS DAY Dar es Salaam LOVELY! Tanesco is zapping Tanzanians with yet another power-rationing schedule that will see us go without...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF, je kuna haja ya kuwepo wawakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye balozi zetu nje ya nchi? Naomba tujadiliane kama ilivyo jadi yetu hapa. Reps want Zanzibaris in foreign...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
vijana wa kitanzania waliopo south afrika hali zao zinasikitisha sana wana jf juzi nilipigiwa simu na mmoja wao akiwakilisha wenzie 51 alinambia kwamba maisha ya kule yamewashinda na walikuwa wako...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Hii imetoka kwenye RAI la tarehe 18-24 Septemba 2008, toleo namba 782. I remain speechless!
0 Reactions
144 Replies
37K Views
Utajiri wa mafisadi kikwazo kushitakiwa * Waziri Mkuu asema uwezo wao kifedha unaiogopesha serikali *Wahusika wa Richmond kuchukuliwa hatua za kinidhamu tu *Asema kuna upungufu mkubwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi kwanini Gazeti la Serikali maarufu kama Government Gazette ambako mambo muhimu ya Taifa kuanzia sheria, kanuni, katiba, au matangazo rasmi huwekwa na mabadiliko katika sheria, kanuni, katiba...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya kuanza kuja kwa nguvu na jitihada za kuanza kumsafisha aliyekuwa Waziri Mkuu na kulirudisha jina lake kwa nguvu kwenye siasa za Tanzania kundi la "Agenda 21" (Soma KLHN juu ya uundwaji...
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Game Theory, naandika haya ndani ya kipindi hiki cha global financial crisis, na kwa abstract kama hii ni imani yangu kubwa kuwa hapo ulipo sasa umekakamaa mbele ya screen yako uki-scroll na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wasomi kugoma na Deogratius Temba Tanzania Daima~Sauti ya watu VYUO vikuu vyote nchini, vimepanga kuitisha mgomo usiokuwa na kikomo mwishoni mwa mwezi ujao, kuishinikiza serikali kufuta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Date::9/19/2008 Wafanyakazi nane wa BoT kortini Dar kwa kughusi vyeti Baadhi ya wafanyakazi wa Benki Kuu (BoT) wakificha nyuso zao baada ya kufikishwa mahakamani Dar es Salaam, Ijumaa...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
The fresh version of Sailesh Vithlani 2008-09-21 10:25:37 By The Guardian on Sunday Team The broker of the controversial BAE radar deal, Sailesh Vithlani, has been spotted several times...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wasiojua ung'eng'e samahani maana makala ya leo ni kwa Kiingereza. Tafuta mtu akutafsirie ni tamu kweli na yenye uhamasishaji wa hali ya juu kabisa: ALL OVER the world now you can find a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ni Jumbe aliyewezesha introduction ya mfumo wa BUNGE la Zanzibar yaani Baraza la Wawakilishi. Ni Jumbe aliyewezesha kuwepo mfumo wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna taarifa ambazo zinazagaa sana mtaani ambazo nimezipata jana. Kuwa kuna baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco wanakula dili na wafanyabiashara kwa kuwauzia umeme nje ya system ya Tanesco. kwa mfano...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
HIVI ni UFISADI pia unaochangia baadhi ya miji yetu na hasa jiji la Kibiashara Dar es salaam kudorora kwa uchafu kila sehemu. NI siri gani aliyoitumia Bw. au ni Dk sikuhizi Fredrick Sumaye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dead Tanzanian immigrants in SA `exceed 12` 2008-09-16 11:06:28 By Patrick Kisembo in Dar and Mwinyi Sadallah in Zanzibar The number of Tanzanians who died in South Africa last week...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Serikali imeomba mkopo wa $ 83 karibia Tsh 98billioni kutoka serikali ya India ili kuinusuru kampuni ya TRL iliyopewa dhamana ya kundesha usafiri wa reli ya kati Tanzania bara , kampuni ambayo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Takribani mwaka mmoja sasa umepita toka Azimio la Songea litangazwe na kupigiwa debe sana katika vyombo vya habari na lile kundi lililokuwa linajiita 'Marafiki wa Zitto Kabwe'. Maadam Mheshimiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Spika naomba tena mwongozo wako Padri Privatus Karugendo Septemba 17, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo MHESHIMIWA Spika Samuel Sitta ninasimama tena kwenye jukwaa hili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…