Ufisadi wa LUKU tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa LUKU tanesco

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Utamaduni, Sep 17, 2008.

 1. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Kuna taarifa ambazo zinazagaa sana mtaani ambazo nimezipata jana. Kuwa kuna baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco wanakula dili na wafanyabiashara kwa kuwauzia umeme nje ya system ya Tanesco. kwa mfano katika siku ya jana LUKU vending Station ziligoma katika maeneo yote ya jijini Dar es Salaam na katika kugoma huko ndipo wanafanya ufisadi wao kwa kuuza luku kimagendo. ni hivi, wahusika hao ndio wanaosababisha mitambo ya luku igome (technically) na katika muda huo wa luku machine kugoma, wahusika wanaokula dili hilo huuza umeme kwa bei ya kutupwa kwa makampuni na hata watu binafsi kitendo ambacho hawawezi kukamatwa kwani pindi network yao inaporudi tanesco hawawezi kugundua nini kimefanyika. inasemekana umeme wanaouuza ni wa bei ghali kuanzia 1 mil na kuendelea na huuza kwa bei ya maelewano kati ya mnunuzi na muuzaji bila kujali rate ya Tanesco na hela yote kuishia mifukoni mwao.

  hii ni habari iliyonishitua kidogo, katika ukame wa pesa ulionao tanesco bado kuna watu wanafanya kitu kama hiki, kama kweli, kwa yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili tunaomba atufahamishe na kwa yeyote anayejua jinsi mashine za luku zinavyo'oparate atuambie.

  Je? ni kweli kuna kitu kama hiki cha kuuza luku kiholela?
  Je? wahusika hao ni kina nani?
   
 2. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika na maneno yako lakini jana nilikuwa na balaa maana nilipita vituo vyote vya luku toka Mbezi mpaka BP pale opposite na Movenpick kisha kile cha Kisutu kulikuwa hakuna umeme ila nkapata taarifa kuna pahala kinondoni sasa sijui ni kituo kamili ama la umeme ulikuwa wapatikana. Aliyenipa taarifa alikuwa amenunua kwa ajili yake...

  Nilijaribu kufuata maelekezo yake lakinisikufanikiwa kufika, yanaweza kuwa na kweli hayo maneno... Si Tanzania hii bwana!
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kuna matajiri wa kupindukia huko dsm wanaoishi kiwa michongo ya luku, si leo wala jana kwa miaka mingi, labda dili limenoga mpaka wanafunga mitambo
   
 4. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2008
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Maisha yanavyozidi kuwa magumu na watu ndivyo wanavyozidi kuwa wabunifu.
   
 5. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Wanaji-Richmond kiaina...
   
 6. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na mpaka muda huu ni kwamba mitambo bado haijanyanyuka...

  dah sijui tunaenda wapi? hivi ni nini ambacho tunacho hapa Bongo hakina walakini?
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jana Badra masoud alitoa tangazo la kuwaomba radhi wateja akasema tatizo lilikuwa limedhibitiwa. Sasa hivi katoa tena press release anawaomba tadhi wateja tena kutokana na tatizo hilo na anasema tena kuwa limedhibitiwa. Amjetoa orodha ya vituo ambavyo wateja wa luku watatakiwa kununua iwapo kutatokea hitilafu kwenye mitambo, anasema vituo hivyo havitapata matatizo. Vituo alivyoorodhesha ni;
  Kituo cha mafuta BP Upanga
  Kituo cha mafuta swahili/kariakoo street
  Kituo cha mafuta Magomeni
  BP Sinza kijiweni
  Tegeta Kibaoni
  Kituo cha mafuta Buguruni
  Oryx Fire
  BP Airport na
  Oilcom Kijitonyama
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  .....kama zile sheria za kuipa TANESCO monopoly bado zipo hakuna cha ajabu hapo,ngoja walalahoi wabunifu wajisaidie na wala siwalaumu!
   
 9. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna tatizo la msingi zaidi ya tunayojua. Hili shirika jamani we acha tu!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,641
  Likes Received: 82,289
  Trophy Points: 280
  Panic as LUKU meters collapse

  2008-09-18 10:32:18
  By Correspondent Felister Peter

  Tanzania Electric Supply Company`s (Tanesco) automatic vending machines in Dar es Salaam collapsed on Monday, putting customers using pre-paid meters popularly known as LUKU at risk of going without power for days.

  A survey conducted by this paper in the city up to yesterday afternoon showed that nearly all LUKU (pay-for-power-as-you-consume-it) vending stations have fallen dead since Monday night.

  Services are said to have returned to normal on Tuesday night before collapsing again yesterday morning.

  Tanesco Communication Manager Badra Masoud said in an interview yesterday that the problem was caused by technical faults in the network linking up the machines.

  Technicians from the giant state-run monopoly have been making frantic efforts to solve the problem, she explained.

  ``Our technicians have been working non-stop to solve the problem to spare our esteemed customers a protracted blackout that would also adversely affect the company financially,`` noted Masoud, without saying how much revenue the company had lost following the system failure.

  ``I cannot at the moment say exactly how dearly the problem has cost us. I will be in a position to speak about it later because we need to make some computations first``, she added.

  According to the official, only Dar es Salaam is affected and vending stations in all other regions where they are in use are functioning normally.

  Dar es Salaam apart, the LUKU system is in use in Arusha, Dodoma, Mara, Mwanza and Shinyanga regions and several major urban centres elsewhere.

  Our survey shows that Dar es Salaam has more than 100 LUKU vending stations and Tanesco technicians managed to restore services at Mikocheni station late yesterday.

  Meanwhile, scores of people were seen moving from one vending station to another in a futile attempt to purchase emergency power. Most of those interviewed wondered why Tanesco was tight-lipped over such a sensitive development, the first of its magnitude to hit its LUKU consumers.

  The LUKU vending machines first came into use in Tanzania in 1995, with most installed in Dar es Salaam. They were chiefly meant for residential and commercial consumers but they are used by several other segments of the public.
  Most other Tanesco consumers still use conventional electricity meters but the company has not been able to give any figures.

  As we went to press, Tanesco apologised to its LUKU customers who had failed to purchase vouchers at various selling points in Dar es Salaam after the sudden malfunctioning of its computer network.

  ``The problem first occurred at 11.00 am on Monday
  and repeatedly occurred until today (yesterday) when it was eventually resolved,`` read the statement issued by public relations manager Badra Masoud.

  The Tanesco management also informed customers who had unsuccessfully tried to purchase LUKU vouchers through the National Microfinance Bank and been erroneously debited, that they would get back their money.

  The statement advised city power consumers to purchase LUKU vouchers at the following selling points:
  -BP Posta/Upanga petrol station
  -Fuel station at Swahili Street, Kariakoo
  -Magomeni petrol station.
  -Tandika Maghorofani
  -BP Sinza Kijiweni
  -Tegeta Kibaoni
  -Buguruni filling station
  -Oryx Fire filling station, Morogoro Road.
  -BP Airport filling station
  -Oilcom, Kijitonyama
  The Tanesco management concluded by giving phone number 0783 313342 for queries in case of any problems.

  SOURCE: Guardian
   
 11. k

  kajumulo New Member

  #11
  Sep 19, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hilo dili lipo lakini nilikuwa najua kwa wateja wadogo wadogo yaani sie kina yahe ndio maana nilikuwa nawatembela washikaji sinza unakuta mtu wa kawaida ana umeme wa milioni kwenye nyumba yake ya kupangisha
  sasa naamini kuwa ukali wa maisha unafanya mtandao na ukuwe
   
 12. M

  MKUDE WA MGETA Member

  #12
  Sep 19, 2008
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ni kweli basi wachonga dili na wakwepuaji ni amoung tanesco haohao kwani hii ni michezo yao michafu .we jaribu kuangalia mafuta ya transfoma wao.nk
   
 13. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  na hawezi kusema ni hasara kiasi gani waliyoipata kwa sababu hawawezi kujua kwani hao matechnician wanaowategemea ndio wanaohusika na ku'fail kwa hizo mashine, ili wafanikishe malengo yao otherwise hatuna wataalamu hapo labda tukodi nje ya nchi kama kawaida yetu
   
Loading...